Sita kama kamba ya mgomba ndani ya siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sita kama kamba ya mgomba ndani ya siasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by hittler, Sep 3, 2012.

 1. h

  hittler Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni wengi mnafahamu kamba hutumika kufungia au kubebea baadhi ya vitu, ni dhairi kwamba kuna vitu vizito au vigumu ambavyo huwezi kuvifunga au kubeba kwa kutumia kwamba ya mgomba. Vinahitaji kamba ngumu na makini kama katani, manila na vingine ata waya.

  Namfananisha sitta na kamba ya mgomba kwa sababu zifuatazo,
  1. Hajitambui kisiasa na hajui anataka nini. Mtu kama sitta anayejiita mkongwe wa siasa hatakiwa kupanda majukwaani na kukashifu vyama vingine badala yake atoe tiba mbadala kimawazo ili kunusuru chama chake
  2. Sitta ni mtu mbinafsi na ubinafsi ndo unamfanya awe limbukeni wa siasa, sitta angekuwa mzalendo wa kweli asingeendelea kushikilia nyumba za uspika alizokuwa anatumia adi leo na kuliongezea taifa gharama nyingine za pango la nyumba ya spika wa sasa.
  3. Sitta ni mtu hatari ambaye hashindwi ata kuwaangamiza wenzake kwa kigezo tu cha kuondoa au kupunguza upinzani wakati wa kinyang'anyiro cha urais 2015.
  4. Sitta hajitambui kisiasa na hatambui umuhimu wa wananchi wake. Angetumia muda wake angalau kwenda jimboni kwake kuwahimiza watu wake wajikite zaidi katika shughuli za kimaendeleo na angetumia nguvu anayodai anayo kisiasa kumshawishi waziri wa ujenzi angalau barabara ya nzega-tabora imalizike kwa kuwekewa lami.
  5. Awache kujipa nafasi ya ki mungu kwa kutabiri au kufikiri yeye ndo chaguo la watu kwa nafasi ya urais wa tanzania 2015. Mungu ndo anapanga na hakuna ajuae kama atafika huo mwaka, pengine siku zako hapa duniani zimekwisha. Simtakii mabaya ila kauli zake za kujiamini kupita kiasi zinakera, hana tofauti yeyote na kikwete, bilali, malima, nchimbi, sophia simba na wengine wengi ndani ya serikali ya kikwete kwa kuwa ameshindwa kushauri, ameshindwa kutoa ata mapendekezo ya jinsi gani kupanua ajira kwa vijana wa tanzania katika nchi za afrika mashariki, amekuwa mtu wa media kama wadhaifu wenzake pia ni legelege kama kina membe na kikwete. Kamba ya mgomba hawezi kufunga mzigo wa kuni.
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  6.thread za sitta zinatosha because he is not worth it..yeye na lowassa wake wote wamechezewa shere na m.k.were,kawaingiza mjini...
   
 3. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  mkuu acha kumgombelezea huyu mpuuzi 6 ugomvi kautaka mwenyewe huruma ya nini......naomba umwache adundwe kwa hoja ****** atampoza manundu kwa barafu magogoni zimejaa tele
   
 4. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Sita ni msaliti wa ccj,kazima sakata la richmond,meremeta,epa na buzwagi kwa maslai ya nani?......alafu eti anajihita mpambanaji wa ufisadi,kwa kumfukuza zito bungeni kisa kaibua buzwagi?......msaliti,mnafiki na ni mtengeneza majungu mbona lowasa alopoki lopoki hovyo yuko bize na maishu yake..anaheshimu chadema na viongozi wake....ntamweshimu lowasa kwanzia sasa sio sita ni mpuuzi kabisa huyu...nilimwona mjanja kumbe empty......
   
Loading...