Maxence Melo LIVE ndani ya 'EATV Hot Mix' akiwakilisha JamiiForums | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maxence Melo LIVE ndani ya 'EATV Hot Mix' akiwakilisha JamiiForums

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Neiwa, Sep 3, 2012.

 1. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Leo jioni hii kuna kipindi kimerushwa 'Live' EATV kikiendeshwa na Adrian pamoja na Fatma. Kipindo hicho cha dakika 120 uhusisha segment mbali mbali kama habari iliopo moto moto, habari za uchumi, michezo, urembo n.k. Katika moja ya kipengele ambacho wameanza nacho ni kutambua kifo cha Marehemu David Mwangosi ambapo wametoa wasifu wa marehemu kwa ufupi ikihusiana na kazi, familia na maziko yatayofanyika Tukuyu Mbeya.

  Katika section ya web review ndani ya kipindi cha EATV Hot Mix, wamemkaribisha moja wa Jamii Forums Founder Maxence Melo ambae yupo kujieleza sasa na kujibu maswali ya watangazaji.

  Hongera kwa Maxence Melo na wana Jamii Forums, keep on keeping on.
   
 2. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Wakuu, Max yupo live ndani ya EATV sasa hivi. VIVA JF.
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Safi Maxence Melo,
  Go on!! JF mtandao wa habari kamili zisizokuwa na chenga, jumba la breaking news!!! The home of great brains/thinkers!! Home of democracy, freedom of speech and expression!!!
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu, Tupe update ya anayoyasema huko!! Wengine bado tuko nje ya TV
   
 5. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  hahaha! Kaulizwa swali la kizushi, akiambiwa kuwa jamii forums ni sehemu ya kuchafuana ajibu ndio ama hapana!

  Inaelekea Adrian ni member hapa kakazana kutaja MMU, mara PM... Mkuu Adrian tafadhali verify ID yako hapa.
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Max bana mahela yote haya hunenepi kwa nini mubyazi
   
 7. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  Dah!!kumbe tumekula tuzo mauchina,hongereni nyote wana jf.
   
 8. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  anasema kala ban anaomb kufunguliwa.
   
 9. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45

  hahaha! Mimemsoma.
   
 10. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  hahahahaha nimeipenda hii, lakini JF ina nafasi ya kukata rufaa kama umeonewa, afuate taratibu asitumie TV kuomba kufunguliwa ban yake. au ndio MS?
   
 11. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Sio fisadi ndo maana hanenepi
   
 12. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kicheko na vigelegele jamani!
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,076
  Trophy Points: 280
  ...Naamini kabisa Maxence Melo hana roho mbaya kama ile thread ilivyoonyesha ya wasiokuwa wanene basi wana roho mbaya...anaonekana ni mtu poa sana.

   
 14. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuhudhumia hiki chombo cha JF chenye hits kibao na kumoderate post hapa si mchezo. Yaani huwezi kunenepa. Ila pia kwa mtu ambaye unatumia sana akili na unafanya kazi huwezi kunenepa, check Kagame super President in East Africa, overal, check Marais wote wa nchi zilizoendelea na mawaziri wakuu (Clinton, Bush, Obama, Cameroon, Gordon Brown, to name a few).

  Ni Tanzania tu nchi ya lelemana unakuta miaskari kitambi kule hata vita ikitokea tu hapo nyumbani kwake atakufa presha la kihoro, haliwezi kimbia. Miwaziri inapumua hovyo tu kama imevimbiwa ndo maana vichwa vimelala!!! Kwa afya napenda sana alivyo Maxence Melo. Unene ni ugonjwa!!! Check Jaji Warioba alivyo smart and fit!!!
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu jioni saa ngapi tupe muda kamili....
   
 16. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Airtime yenyewe dakika tano tu aaaaagh.
   
 17. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Imeshamaliza kaka.
   
 18. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Daah nimefurahi kumfahamu huyu kijana ,hakiametoa na anaendekutoa mchango mkubwa kuikomboa na kuelimisha watanzania.hongera sana kijana.
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  The Boss, eti asemalo BAK ni kweli??

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,076
  Trophy Points: 280
  Mhhhhh!

   
Loading...