Kipengele cha 'DINI' ktk vitambulisho vya taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipengele cha 'DINI' ktk vitambulisho vya taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Opaque, Aug 31, 2012.

 1. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Baada ya sheikh Ponda kuwashawishi wajinga wachache kugomea sensa kwa kigezo cha kutokuwapo kipengele cha dini katika madodoso ya sensa, sasa macho na masikio yanaelekezwa katika zoezi la vitambulisho vya taifa.

  Swali la kujiuliza; je, Ponda (kama kweli ni raia wa Tz na anastahili kupewa ID) na wengine wenye msimamo mkali wa dini ya kiisilamu, watagomea kupokea vitambulisho vya taifa hadi kipepengele cha dini kijumuishwe?
   
 2. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,223
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Mkuu OPAQUE sometimes inabidi uwe Transparent,uruhusu ubongo uruhusu idea nyingine ziingie! Ponda hakugomea sensa kwasababu amependa,hoja yake kuu ilikuwa ni kuondoa utata wa kitakwimu uliochapishwa na vyanzo mbalimbali kalingana na dini za watanzania.Sasa vitambulisho vya taifa vinahusikaje na ile hoja yake ya kwanza aliyoisimamia?
   
 3. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  nachukia sana hii maneno
   
 4. H

  HAPPY MAKUKU Senior Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  utakuwa unaumwa, sensa na vitambulisho wapi na wapi, mlijitangazia mko wengi cha ajabu mnapinga vikali kipengele hicho kwa sababu kingewaumbua sasa hivi mnaleta mada za kiabunuasi kuua soo. ninyi kweli mmeishiwa hamna lolote. tangazeni tena mko wengi kuliko wapagani ila kwa waislamu mmenoa.
   
 5. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Mleta Mada hajui sifa ya mjinga ni yule anaeleta Mada bila ya Kufanya utafiti na kujaza kebehi na kejeli kwa wanaojadiliwa badala ya dondoo (contents).Hakuna shrti lililowekwa humu JF kuwa ili uwe member lazima UANZISHE THREAD unaweza kuonekana even kwa kuchangia hoja za wenzio.
   
 6. M

  Mkandara Verified User

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mjinga ni wewe uloshindwa kuelewa umuhimu na maana ya sensa. Kipengele cha dini ktk kitambulisho hakina maana yoyote kwetu wala wewe kwa sababu kitambulisho hakilengi kupeleka maendeleo kwa wananchi. Maadam nchi yetu haina dini msitake kutuaminisha kwamba hata watu wake hawana dini - tunazo na tuhesabiwe.
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280

  ponda sio mpumbavu kiasi hicho eti kuwe na kipengele cha dini kweneye kitambulisho cha taifa! .. nadhani haya ni maoni ya na shati lako ulilovaa sasa hivi..

   
 8. meeku

  meeku JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 571
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Poor minded always discuss people. Wingi wa dini fulani na uchache utakusaidia nini kwenye mlo wako wa kila siku? Au wingi ndo kwenda peponi? Na hizo takwimu kama zilitolewa zilitokana na sensa? Kwa nini na waisilamu wasitumie namna ya kuhesabiana. malumbano ya simba na yanga ni uendawazimu. na nasema huyo ponda ni kichaa kati ya vichaa wanomsapoti. anawapelaka kuzimu.
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  na nyie mlishindwa nini kujitangazia mko wengi hadi muing'ang'anie serikali,mnapenda vya dezo sana nyie
   
 10. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nnavyofahamu akili za ponda lazima atawashawishi tu waislamu kugomea vitambulisho
   
 11. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Mimi naamini watu wenye mawazo na fikra za kuona mbali na wakti wote kuondokana na ile tarbia ya kuhisi jambo bali wanataka reality kila wakti kama Ponda kama watapatikana arobaini tu basi wa Tanganyika mtavuka huo umasikini mlionao. Kumbukeni waTz sio masikini wa mali bali wengi wenu ni masikini wa Akili.

  Nia ya Ponda ni kuweka kipengele cha DINI katika dodosp lenu ili.
  1. Kujua idadi ya waumini wa kila dini iliyopo Tanzania.
  2. Kujua idadi ya dini walizonazo wananchi wa Tz.

  Kwani mambo hayo kila siku yanabandikwa kwenye vivutio vyenu vyote vya watalii na hata wawekezaji kuja nchini kwenu.

  Labda mjiulize katika dodoso lenu kuna hata idadi ya mifugo na suala la ilmu ilhali kuna wanataka kujua wanaojua kusoma na kuandika kimombo na kiswahili. Je mambo kama haya yana msingi gani ukilinganisha na kujua idadiya dini na waumini wake?

  Ndio maana wengi tunasema wanaompinga Ponda ni wale wenye akili za ku copy na ku peste. Boingolala
   
 12. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  wakiweka kipengele cha dini ,waweke pia kipengele cha “ Yanga au Simba + bia au soda?”
   
 13. KIGENE

  KIGENE JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,068
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Mnatukela mno na hizo dini zenu imported zungumzia mambo ya kujenga nchi ambayo ni masikini ya kutupwa, hao wajanja walituletea mambo yakutuvuruga tu.
  Angalia watu wanauana ovyo kisa eti wanatofautiana kiimani kinadhalia dini hizo zinaubiri upendo na amani lakini matendo ni kinyume na maubiri.
  Huku zilikotokea dini hizo wametulia wanatuangalia wanatucheka na kutuchochea tumalizane wenyewe kwa wenyewe.
  Heri yao walioamua kujitenga na propaganda za kigeni.
   
 14. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  ponda ni mjinga...
   
 15. 7

  7son Senior Member

  #15
  Aug 31, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  maskini waislamu,kwani mkiwa wengi mnataka mfanyeje,mlivyochoka hata kujihesabu hamuwezi hadi serikali iwasaidie,mnackiliza huyo ponda uwezo wake wa kufikiri ukoje,achaneni na mambo ya ajabu cyo lazima serikali iwahesabu,ndo matatizo ya kutumia akili ya uji na ubwabwa.Tangazeni mko asilimia 90 na hamna mkristu atawafuatilia,kuna tofauti kubwa sana kati Ponda na Paulo so acheni kulialia
   
 16. M

  Mtz.mzalendo JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuondolee pumba zako hapa
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu kashindwa kule lazima adandie huku!
   
 18. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Sasa hapa inaonesha wewe ndio unaumwa maana kama wao walitangazia wako wengi na sio kweli kwa nini msiwapuuze! Au nanyie mjitangaze mko wengi!

   
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Ponda lazima ashawishi watu wagome, maana hana uelewa wowote!

   
 20. Vijijini Lawama

  Vijijini Lawama JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Haya bwana basi ninyi waisilamu ni wengi! Mm sioni kuwa waislamu/wakristo mkiambiwa mko wengi effect yake ni nini? Kwa hiyo huo wingi ndo unakuondolea amani? mambo mengine hayana mashiko kabisa cjui watu mnatumia masaburi hiyo nayo ni topic ya kubishaniwa? Mm ningekuwa mkurugenzi wa TBC ningewambia watangazaji waimbe na siyo kutangaza tu kuwa waislamu ni wengi
   
Loading...