Kama watanzania wana macho na masikio basi 2015 lazima CCM itakua chama upinzani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama watanzania wana macho na masikio basi 2015 lazima CCM itakua chama upinzani!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MR.LEO, Sep 4, 2012.

 1. M

  MR.LEO Senior Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani haya matumizi ya silaha za moto kwenye mikutano ya kisiasa,mauaji ya watu wasio na hatia,kukithiri kwa rushwa,hali ya maisha kuzidi kuwa ngumu kwa tabaka la chini,ukosefu wa ajira na tabaka la viongozi kuzidi kutafuna mema ya nchi ni wazi kwamba
  "WE NEED CHANGES"
  MI SIJUI NINI KILITUFANYA TUMCHAGUE HUYU RAISI ALIYE MADARAKANI? MAANA NAONA SERIKALI YAKE IMEVAA BUKTA!
   
Loading...