Kuna haja Kubwa ya kuileza Dunia UKWELI ni Serikari ya aina gani na ni namna gani inatutawala Raia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna haja Kubwa ya kuileza Dunia UKWELI ni Serikari ya aina gani na ni namna gani inatutawala Raia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by madibira1, Sep 3, 2012.

 1. madibira1

  madibira1 Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Mataifa mbalimbali Duniani yanajua Tanzania ni kisiwa cha Amani wakati sio kweli not anymore, sasa hivi ni WOGA tulionao juu ya Serikali na Vyombo vyake hasa POLISI ndio kinachotangazwa huko nje kuwa ndio Amani.

  Kuna mlolongo wa matukio Mabaya na Yakutisha yanafanywa na Serikali kupitia Vyombo vyake kama Polisi ambavyo havikemewi Kimataifa but ni Dhalimi wa Raia. Serikali inatumia kila mbinu ambazo bado ni dhaifu sana kuficha UKWELI na wakidhani sie wananchi tunawaelewa as wao wakiona kesho yake Vichwa vya Habari vya magazeti vimeleta habari nyingine basi nasi kumbukumbu ya matukio yao tumeyasahau...Wanajidanganya.

  Kumekuwa pia na mlolongo wa kufanya udhalimu kila vyama vya Upinzani wakifanya Harakati zao za kisiasa hasa CHADEMA, Serikali kutochukua hatua juu ya wahusika POLISI wakandamizaji wa Demoklasia, ila inawachia viongozi wa chama kongea, Sasa katika Kifo cha mwandishi wa Habari Mwangosi(R.I.P mpiganaji) ndo wameshtuka tena mshiko mkubwa labla kwasababu marehemu ni mwandishi wa Habari ndio IGP Mwema na Manumba wamekutana na viongozi wa Chadema. Serikali yetu mara mpaka matukio yatokee ndo wanahangaika Kutatua tatizo sijui itajifunzalin....

  Nadhan kabla ya their end 2015 tunahitaji ku Expose udhalimu huu Duniani labda itasaidia Serikali kusikia.
   
Loading...