Nani Atainusru Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani Atainusru Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kawunju Mkunaardhi, Sep 6, 2012.

 1. K

  Kawunju Mkunaardhi New Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani atainusuru Tanzania...!
  Maana kila siku vifo vya makusudi vinatokea... walikufa ndugu zetu kwa uzembe MV Bukoba, na MV Space Highlanders! Walifuatia watu waliofukiwa migodini? Zikafuatia risasi za kuua ng'ombe waliokusanywa kisa wanakula majani mbugani! Eee Mungu inusuru nchi hii...

  Hivi, polisi wakijipanga barabarani na kisha kuwaongoza waandamanaji wapite salama katika barabara wanazoandamana watakuwa hawajaheshimiwa? Au polisi wameshaonja nyama ya mtu?

  Namkumbuka Mwl. Nyerere aliposema mtu akisha onja nyama ya mtu atapenda tu kuua na kula!!!

  KM
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wewe unauliza nani atainusuru badala ya kuuliza nani anaetaka kuiangamiza? Huwajui?
   
 3. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanaosababisha uhasama ndio watakao inusiri nchi hii, hawa ni Tendwa J, JK, Mwema IGP, Wasira S, Nnepi N, Nchimbi, polisi aka CCM. Hii itawezekana tu pale watapata chembe ya hekima na busara ya kuingoza hii nchi na kuilinda sifa iliyojiwekea TZ katika dunia kuhusu hali ya kisiasa.

  EU wanasema "Tanzania has a population of around 38 million. It is a political leader in Africa, a status obtained during the decolonisation period, when the country's first president, Julius Nyerere played an important role in the Pan-African Movement.Although politically stable, the country is heavily indebted and remains one of the world's poorest countries with over 12 million people living below the poverty line". European Union - EEAS (European External Action Service) | Tanzania & the EU
  Hapo rangi nyekundu nashauri EU wabadilishe, lasivyo watakuwa wanawaunga mkono hawa CCM kwa mauaji wanayofanya kupitia polisi.
   
Loading...