CHADEMA kusimamisha shughuli kwa ajili ya sensa huku Fiesta Mwanza kuendeleza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kusimamisha shughuli kwa ajili ya sensa huku Fiesta Mwanza kuendeleza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Escobar, Sep 3, 2012.

 1. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Honestly am worried, we are not safe at all! Kwa matukio haya na tusiyoyajua, polisi sio usalama wa raia kabisa.

  Haiwezekani nchi moja iwe inaendeshwa kiushabiki shabiki usio na tija. Imekuwaje Mwanza waruhusiwe kukusanyika wakati sensa ikiendelea lakini Iringa waonekane wanavunja sheria?

  Tumwogopeni Mungu, hapa kuna watu wanachuma dhambi huku wakijua wazi kuwa damu ya mtu huwa haipiti bure, mnajibambika laana zisizokuwa za lazima ambazo kama si ninyi basi zitawatesa wazao wa damu yenu hata kama niwajukuu ama vitukuu vyenu!

  Leo mtasifiwa na waovu walioko nyuma yenu ila ipo siku nawaambieni dhamira zenu zitawasuta mtakuwa mnayakumbuka maovu haya na mtalia wenyewe.

  Kila la kheri majemedari
   
 2. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Sio Mwanza tu, hata Musoma pia wamefanya Juzi tena Polisi wakilinda bila wasiwasi. Tanga wamefanya last weekend.

  Inawezekana wanaohesabiwa ni wale wanaohudhuria mikutano ya Chadema tu, wanaohudhuria Fiesta hawahesabiwi kwa mujibu wa Polisi Tanzania
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Sensa ni ya Iringa tu, Mwanza walishahesabiwa wote?
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,834
  Trophy Points: 280
  Aiseee hii ni haibu sana kwa police yani wanatumika vibaya na wana siasa! Yani watu wanacheza disco kwa hiyo sensa haiwahusu? Kweli hii ni haibu sana! Kweli wana mkakati wa kuimaliza cdm bila shaka na kamwe wata endelea kushindwa!
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Labda utawala wa majimbo tayari umeshakuwa - implemented kuwa Iringa ni jimbo lililokuwa na sheria tofauti na majimbo mengine (Just guessing). Hii nchi inateswa na tatizo la watu
  (a) kulewa madaraka
  (b) Kukosa elimu
  (c) Kukosa uzalendo
  (d) Ubinafsi
  (e) Unyang'au wa kutaka kuonekana wanajua kufanya kazi bila kuwa na ufanisi wowote katika kuwasaidia raia
  (f)...
  .
  .
  .
   
 6. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  ni upuuzi tu wa watanzania, wala hatuna haja ya kulaumu sana polisi, 90% yao wanatii tu amri, hata ikitokea siku wakiambiwa wasuse kuua watasusa

  tatizo ni sisi watanzania, tusilaumu polisi, wanajeshi wala mumiani........... hatma ya maisha yetu ni yetu, ila tunagawa sana
   
 7. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hakuna cha fiesta wala nini bali umalaya mtupu ambao CCM inapenda kuuendekeza ili vijana wasijitambue washikilie kuvaa mitepeso kama ******* wasijue kuwa wana wajibu wa kupambana na mfumo huu mchafu.

  Laiti al shabaab wangewavamia hawa mafiesta na kuwalilpua. Maana inatia kinyaa sasa. Umalaya kweupe. Mnaharibu taifa letu kwa upuuzi wenu wa kuwafanya watu wawe wajinga wasioweza kuwawajibisha kama ilivyotokea huko maghreb. Tunajenga taifa la vyangu kama Wema na Diamond!
   
 8. N

  Nguto JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,654
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Ni kweli Escobar!

  Kila anayeua lazima ajue anjiletea laana kwake na uzao wake wote mpaka vitukuu. Damu ya mtuasiye na hatia haipotei bure!! Kwanza sensa mbona imeisha yaliyobaki ni masalia tu! Sensa imefanikiwa kwa asilimi 95 hivy waliobaki ni wachache tu. Isitoshe sio lazima wote muwepo nyumbani. Mmoja mwenye taarifa za watu wote waliolala humo ndani anatosha. Sasa hii kusema walikatazwa kwa sababu sensa inaendelea mie inanichanganya.

  OK tu-assume waliwakataza na CDM hawakusikia kwanini walimtarget mwandishi na si wafuasi au viongozi wa CDM? Na vifo vyote vilivyotoke na jeshi la polisi wana target raia wa kawaida tena wasio wanachama wa CDM. Hii inashangaza kidogo!!!

  Polisi wakoje hawa? Nani anawatuma kuua raia wasio na hatia?? Kama mmeambiwa muwathibiti CDM haimanishi muue raia wasio na hatia. Sidhani kama mna order ya kuua. Kuthibiti labda mnayo.

  KUUA NO hamjaambiwa. Damu hizi polisi mtazilipia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Zoezi limefanikiwa kwa asilimia 95.....bado asilimia 5 tu


  Hiyo asilimia 5 ya wasiohesabiwa wapo Iringa peke ake
   
 10. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Pia uchaguzi wa wajumbe wa uvccm na nec sawa,chadema hakuna.madai yao wana hatimiliki ya hii nchi
   
 11. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mbinu ya polisi kizidi kuidhohofisha ccm na serikali yake
   
 12. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Swali zuri sana. 'Nchi ya double standard'. Sijui viongozi wetu (aah watawala) wanadhani hatujui kuchambua mambo!
  Si bora hata wangetumia hii mikusanyiko kama compliment ya sensa hasa kwenye suala la uhamasishaji kama ilivyotokea morogoro.
  Rip DM
   
 13. K

  Kilian Senior Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 26, 2009
  Messages: 147
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Chagonja anaongea utafikiri hajasoma. CCM wanatakiwa wajue kuwa watanzania wameshaamka sio wale wakuamini kila kitu. Mikutano ya CCM na fiesta haviathiri sensa? hii kweli inaingia akilini? Twendeni tutafika tu.
   
 14. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  1). Fiesta Mwanza 2/9/2012
  2). Mkutano wa Mbunge ulifanyika huko Mwanza 2/9/2012
  3). Ufunguzi wa kampeni jimbo la Bububu huko Zanzibar 2/9/2012
  4). Uchaguzi wa UVCCM Dar 2/9/2012
  Then kwanini CHADEMA walizuiwa kufungua matawi yao huko Iringa 2/9/2012?
   
 15. J

  JEMBE TARIME Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu mi nashangazwa sana na jinsi mambo yanavyoenda hivi sasa. Chaguzi za ccm zinaendelea maeneo mbalimbali ya nchi lakini Chadema baada ya kuzuiwa kufanya mikutano wameamua kufungua matawi tu. Lakini tunaambiwa kuna sensa sensa ndo mduduwasha gan?
   
 16. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Wee unaliona hili leo? mimi nilitambua rasm Polisi kwamba wanatumika siku walipokataza mikusanyiko kwa kisingizio cha uwepo wa Alshbab lakini the same day Kulikuwa kuna mechi kubwa uwanja wa Taifa iliyo involve mkusanyiko mkubwa sana, na siku nyingine waliwazuia Chadema wasifanye Mkutano kwa kisingizio cha kutokuwa na Polisi wa kutosha as if Chadema wanawajibika kuajiri Polisi, lakini cha ajabu walisema hawana Polisi wa kutosha lakini Chadema walipotofautiana nao na kufanya mkutano wao kama kawaida Eneo la tukio walikuja Polisi wa kutosha na kuhatarisha maisha ya wananchi.
   
 17. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wakati huohuo mikutano ya kutoa maoni ya katiba mpya inaendelea kama kawa tangu zoezi la sensa lianze.
   
 18. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani fiesta inaanza muda gani? Na maandamano yanaanza muda gani?
   
 19. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huko BUBUBU-Zanzibar jana ndio ilikuwa siku ya uzinduzi wa kampeni. Hapa Iringa, jana nimeyaona maroli yakipishana yamebeba makada ya ccm na huwa wanafanya mikutano kabisa. HAYA MAUAJI NA FUJO KTK MIKUTANO YA CHADEMA IMEPANGWA, NI MAKUSUDI KABISA!
   
 20. B

  Bukutonaga JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hawa CCM ni wendawazimu maana nahisi hata ubongo/Uwezo wa kufikiri umefikia tamati maana kama huku mwanza wiki nzima wanasomba tu wanachama wao kwenye magari kwenda kuwapa kura ila Chama cha watanzania wakitaka mkutano kuna sensa afu CDM hawachukui wananchi kutoka maeneo ya mbali ni karibu tu na maeneo wanapoishi ila sema wanajaa coz wananchi wanaitikia wengi ndo wanaona kama watu wanasafirishwa kama CCM wakiwa wanafanya magu watasomba kutokea Geita sengerema na maeneo mengine ya mbali ili wajaze.
   
Loading...