Mbatia aonya kuhusu mauaji ya raia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbatia aonya kuhusu mauaji ya raia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DOOKY, Sep 6, 2012.

 1. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  WAKATI bado kuna sintofahamu ya mauaji ya mwandishi wa habari wa kituo cha Channel Ten, Daudi Mwangosi, Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), James Mbatia, amewaonya Wanasiasa na Viongozi wa dini kutotoa kauli nzito ambazo zinaweza kuhatarisha amani.
  Pia, Mbatia pamoja na Viongozi wengine wa vyama vya siasa nchini vimemtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kukaa kikao cha dharula ili kujadili suala hilo kwa undani. Source http://dewjiblog.com/2012/09/06/mbatia-awaonya-wanasiasa-kutotoa-matamko-kuhusu-mauaji-amepanga-kukutana-na-waziri-pinda/
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mbatia hana jipya,anashindwa kusema ukweli kuwa serikali na ccm waache kuwaua raia.sasa dini na wanasiasa wamefanya nini???shida watu wenye ugamba ndani yao hawapendi kusema ukweli.kama wameua makusudi alitaka wasemeje.ndiyo jeshila polisi na serikali wanatufundisha ukororfi kwa kuua wananchi.
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mnafiki mwingine huyo
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Huyu anaogopa kuvuliwa ubunge wa viti maalum akiongea kinyume
   
 5. George Kahangwa

  George Kahangwa Verified User

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 539
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mkuu Mamajack,
  Pengine mleta mada hakuandika kila kitu kilichosemwa na Mbatia katika mkutano wake na waandishi wa habari. Kama anaweza kufanya hivyo, itakuwa vyema zaidi. Mbatia amezungumza kwa niaba ya TCD, chombo ambacho kinaviweka pamoja vyama vyote vya siasa vilivyo na uwakilishi bungeni (labda, hayo ndiyo makubaliano ya vyama hivyo). Katika mazungumzo yake ameeleza kusudio la vyama hivyo kwa pamoja kukutana na Waziri Mkuu kama jitihada mojawapo ya kuhakikisha Taifa letu linarejea katika amani (mauaji ya raia wasio na hatia yanakomeshwa).
  Labda ni vizuri kilichoko kwenye source kikasoma (kama kuna ufafanuzi zaidi).
   
 6. Joste

  Joste Senior Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbatia anaakili kuliko wewe
   
 7. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  mbatia is too soft on this government...huwezi kuisema serikali iliyokupa ubunge
   
 8. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwani Mbatia ni Mbunge wa chama gani? anawakilisha chama gani Bungeni? Kauli yake haitofautiani na ya Nape Nnauye.
   
 9. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  mi nashangaa sana, hiyo sintofahamu iko wapi? Mbona humu jf watu tunamjua muuaji na ushahidi wa picha umeishawekwa. Hata kama bomu lilitoka kwingine lakini kafia mikononi mwao, cha kushangaza walikuwa wamemzunguka na cha ajabu bomu likapenya na likamfikia mwangosi.
   
 10. George Kahangwa

  George Kahangwa Verified User

  #10
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 539
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ni Mwenyekiti wa TCD, kauli aliyotoa si kwa nafasi ya ubunge.
   
Loading...