JE, UNAIPENDA TANZANIA? njoo uungane nasi mkutano wa CHADEMA Milton keynes 15/09/2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JE, UNAIPENDA TANZANIA? njoo uungane nasi mkutano wa CHADEMA Milton keynes 15/09/2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Sep 7, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  [h=3]Mkutano Wa Chadema Milton Keynes - Je Unaipenda Tanzania?[/h]

  [​IMG]

  JE, UNAIPENDA TANZANIA? KAMA JIBU NI NDIYO, BASI NJOO UUNGANE NASI MILTON KEYNES
  NETHERFIELD MEETING PLACE, FARNBOROUGH NETHERFIELD MK6 4JB kuanzia saa kumi jioni mpaka saa tatu usiku

  CCM ni injini iliyochoka sana na iko beyond repair, we can only use it as a scrap metal.
  Inabidi tufunge injini mpya kabisa inayoitwa CHADEMA kwenye gari letu Tanzania   
 2. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Kila la kheri makamanda, sisi wengine hatuna namna ya kuhudhuria physically, lakini spiritually, tup pamoja.
  Pipoooooooooooooooooooooooozz............Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
   
 3. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee iyo sehemu iko wapi hapa tanzania ????
   
 4. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hii uk bro,
  halafu nakudai kidumu cha mbege wewe
   
 5. Chris Lukosi

  Chris Lukosi Tanzanite Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 4,587
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Asante chili tuko pamoja
   
 6. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wenzenu nao wameamka SASA, Nasikia wanaenda kufungua TAWI Leicester, Kumbe wanaogopa Chadema eeeh!
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Wewe si ulikuwa kwenye ban au umehonga mbege?
   
 8. m

  moseskwaslema Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pamoko sana makamanda
   
 9. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hata wafanye nini mkuu hawataweza kamwe kushindana na sauti ya umma ambayo ni sauti ya Mungu,angalia anavyoendelea kuwaumbua kwenye mauaji yao haswa kifo cha mwandishi kamanda Mwangosi.
   
 10. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kwa kwelli Ccm sizani Kama watafika 2014, mie nina wasiwasi mukulu anaweza kukubali yaishe
   
 11. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wenyewe hawaamini bado kama chadema ina nguvu, bado wana tudharau
   
 12. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  "Sisi sote ni ndugu, tatizo ni CCM" ...................... hii ni kali.
   
 13. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Cha moto ukiangalia reality utagundua kuwa huu msemo ni kweli
  Kama sio ccm waisilamu wasingekuwa wanaaandamana
  kama sio ccm uamsho wasingechoma makanisa
  kama sio ccm watu waingekuwa wnauawa
  kama sio ccm tusingekimbia nchi yetu tuishi ugeninmi
  kama sio ccm ditto asingeua dereva wa daladala live
  kama sio ccm rage asingepanda na bastola jukwaaani
  kama sio ccm viwanda visingekufa
  kama sio ccm tungekuwa ,oja ya mataifa tajiri dunianai
  FIGURE IT YOUSELF
   
 14. MARUMARU

  MARUMARU JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ipo usseri karibu kabsa na kirongo
   
 15. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahahaha! NYINYIEM
   
Loading...