Nape na Mwigulu, karibuni Igunga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape na Mwigulu, karibuni Igunga!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nkanaga, Sep 8, 2012.

 1. Nkanaga

  Nkanaga JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 592
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 80
  Karibuni sana jimboni hapo kesho jumapili, tuna hamu ya kuja kusikia ufafanuzi juu ya haya fafuatayo, kwa nini mbunge dr Kafumu kapokonywa ubunge? kwa nini makada wetu walipanda na bastola jukwaani? kwa nini mlileta chakula cha msaada kipindi cha kampeni? kwa nini mlitisha kutojenga daraja tusipoichagua ccm? ila pia msiache kusema sababu za kutoka Dar hadi huku Igunga kuja kumrubuni shemeji yetu na kuharibu ndoa yake kwa kutembea naye! Tunafahamu juu ya mauaji ya watanzania wenzetu Morogoro na Iringa, maana vyombo vya habari vimeripoti vema. Karibuni sana, tumeona fuso iliyotangulia.
   
 2. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,346
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye red kweli kabisa inabidi Mwigulu awe na ubinadamu na fikra kwanini asijezuie kwenda Igunga! kwani siku ya kesho itakuwa ngumu sana kwa yule mume aliyepigiwa ngoma yake na Mwigulu na nafikiri tifu katika familia hiyo litaanza upya.
   
 3. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,009
  Likes Received: 1,885
  Trophy Points: 280
  Aseee ina maana mtakuwa na ugeni hivi punde?
   
 4. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0


  Mkuu kama upo. Igunga tujuze jee? Daraja limejengwa

  Na huyo shemeji yetu bado anamume nimeuliza kama aliachika mwigulu abebe huo mzigo wa kumutunza au aozwe
   
 5. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mimi siwezi kumlaumu Mwigulu kwa kugonga kei ya mke wa mtu. Ilikuwa ni jukumu la mke kukubali ama kukataa. Tutajuaje kama mwanamke hata alisema kuwa hana mume?
   
 6. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,176
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  wapopoeni mawe hao hawana maana..wanakuja kuwavunjia ndo zenu...
   
 7. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,184
  Likes Received: 7,384
  Trophy Points: 280
  nawashauri wanaume wa igunga muwe makini na wake zenu kwa kipindi chote atakachokuepo mwigulu huko,ni hatari kwa ustawi wa ndoa zenu.!
   
 8. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 3,855
  Likes Received: 1,013
  Trophy Points: 280
  Kesho sio muingie mitini mlete taarifa kwa wakati maana hamchelewi kula kona.
   
 9. m

  mecy JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 424
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanaigunga wote mhoji kwanini wanakuja huko kwenu?kwanini wamesababisha jimbo lipo wazi ?wanasera zipi kama sio za kugawa mahndi?ana wakti mgumu sana kwenye jimbo lake,
   
 10. s

  sony wega JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chemba la ngono si mchezo huyo lazima aje tu igunga maana mshipa wa noma umekatika toka aumbuke arumeru
   
 11. Baba Kimoko

  Baba Kimoko Member

  #11
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naogopa ban
   
 12. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kama polisi wana akili wauzuie mkutano coz kiintelijensia inaonekana aliyeibiwa mke na yule mzinz empty head mchambwaj anaweza kulipiza kisasi
   
 13. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  funguka banaa
   
 14. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Timueni hayo maizi ya wake za watu.
   
Loading...