PICHA: Miili Ya Askari Wa JWTZ Waliokufa Nchini Sudani Yaagwa Leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: Miili Ya Askari Wa JWTZ Waliokufa Nchini Sudani Yaagwa Leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Sep 7, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  [h=3][/h]
  [​IMG]
  [​IMG]
  Askari wa Jwtz wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili waaskari wa 3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya jeshi la umoja wa Mataifa muda mfupi kabla ya kuiaga mili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam
  [​IMG]
  Askari wa JWT wakingiza miili ya marehemu katika Gari tayari kwa safari ya kuelekea mikoani kwa ajili ya Mazish
  [​IMG]
  Mkuuwa Majeshi nchini Devis Mwamunyange akifariji mke wa moja wa askari walifariki Bi, Fatuma Chunguile
  [​IMG]

  [​IMG]
  Mkuuwa Majeshi nchini Devis Mwamunyange akitoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu
   
 2. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Thanks kamanda
   
 3. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jamii Forumn kiboko, members wengi wako undercover. R.I.P marehemu wote
   
 4. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  RIP Mashujaa wetu. Mtakumbukwa kwa kupigania kuwepo kwa amani Afrika.
   
 5. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nimesikitika sana,pumzikeni kwa amani makamanda,poleni wafiwa
   
 6. A

  ALAPEJE Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
   
 7. t

  tenende JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  RIP makamanda!
   
 8. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  R.I.P played yo part.
   
 9. J

  JokaKuu Platinum Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,958
  Trophy Points: 280
  R.i.p.
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  You played your part,r.i.p
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  yaani wamekufa kwa mai wakivuka mto au?sijaelewa?ina maana hawajui kuogelea au? Pumzikeni wanajeshi mliokufa huko mkivuka mto..tutaonana parapanda ikilia
   
 12. NAKAMO

  NAKAMO Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Respect to the fallen soldiers
   
 13. d

  dotto JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Huyu Mwamnyange hizo pete kubwa za nini au nazo ni nishani za mikononi!!!?????
   
 14. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tujaribu kufiria kabla ya kutoa mada hasa kwa ishu kama hizi.gari ikitumbukia kwenye maji inateggemea wewe ulikaa wapi.ukiwa ndani ya gari na mkondo wa maji mkubwa ni ngumu sana kuweza kutoka ndani ya gari maji yuanaweka presure kwenye mlango na inakuwa ngumu kufungua.rip wanajeshi wetu.
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Walale kwa Amani yake Bwana wetu!


  Inauma sana lakini ndiyo hivyo!
   
 16. F

  Fursa Pesa JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 2,313
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280
  ehee Mwenyezi bariki famila za makamanda wote waliotutoka kwani yote hayo mapenzi yake yeye mwenyewe mkuu wa vitu vyote katika dunia hii ambaye alivitoa na kisha kuvichukua.
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Poleni wafiwa.
  pole JK kwa kufiwa
   
 18. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Comrade..., ndo wajua leo!! long wamo humu kitambo!!
   
 19. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Pole sana Kamanda Mwamunyange kwa vifo hivyo vya wanajeshi wetu.
   
 20. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Silly comments from tiny brain..,
  chanzo cha kifo kilisharipotiwa humu jf..,
  Hata mm mwenyewe nlianzisha thread kuhusu hawa mashujaa walivyopotea..,

  Uwe na heshima, katika hili tukio la kusikitisha watu wamepoteza kaka/baba/mume/ndugu/kijana wao

  rip mashujaa
   
Loading...