Movement 4 Change
Member
- Sep 3, 2012
- 26
- 3
CCM imeendelea na programu zake za kufundisha umafia vijana na sasa wapo kambini kijiji cha Lungo Kata ya Mtibwa huko wilayani Mvomero. Lengo kubwa ni kuwatisha wananchi ili waendelee kutawala. Wanawalipa sh 30,000.00 kwa wiki.
Ujumbe kwa vijana: Njaa ya tumbo isiwadhalilishe,ccm ndio waliowanyima elimu,ndio walionyima ajira,ndio waliowanyima mafao mbalimbali wazazi wenu,ndio wanaowanyanyasa walimu na madaktari hata mkakosa huduma muhimu na hatimae tunakufa mapema. Vijana amkeni,mnatumiwa kwa muda tu baada ya hapo ninyi mnageuka kalai la zege ambalo nyumba ikishakujengwa linatupwa kuwa ni uchafu.