Uchaguzi mdogo kata ya Daraja II CHADEMA yaanza mikutano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi mdogo kata ya Daraja II CHADEMA yaanza mikutano

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Crashwise, Aug 17, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kuelekea uchaguzi wa kata ya daraja 2 utakao fanyika tarehe 30/09/2012 chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeanza mikutano ya mtanange huo kwenye kata hiyo kuhakikish kata hiyo inakombolewa baada ya aliekuwa diwani wa kata hiyo kwa ruhusa ya chama cha Mabwepande (CCM) kufariki, mkutano huo unaongozwa na kamanda Godbless Lema. Nitawaendelea kuwajuzaÂ…
   
 2. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kama ni Lema tayari ccm wapo mateka
   
 3. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  twanga kotekote
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Pamoja kaka. Natumaini wananchi wa daraja mbili watafunguka na kuachana kabisa na ccm.
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Nilifika kwenye mkutano watu ni wengi sana, nikakuta kamanda lema anawalielimisha kwanini madaktari na walimu waligoma. akawaambia kama angekuwa kijana wa daraja mbili amemwambia ulimbka utaona kisha kesho yake aokotwe kanyofolewa kucha na meno angekuwa kisongo lakini pinda aliesuka mpango mzima na kauli yake liwalo na liwe hata kuhojiwa haja hojiwa halafu anakuja mjinga mmoja(Kova) anatengeneza sinema ya kipumbavu kutaka watanzania waamini uhuni wake....
   
 6. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  AH kama ni kamanda Lema CCM lazima cha moto wakione TATINANE
   
 7. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  ccmabwepande watapata kipigo cha mbwa mwizi,aluta continue kamanda lema.
   
 8. s

  siri ya bata Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 1, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema kata ipo mikononi tayari ilo halipingiki.
   
 9. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Nimefurahi kusoma hii taarifa, japo nimechelewa. Naomba kukuuliza mkuu, hizi kata nyingine 5 za wale madiwani waliofukuzwa, vipi chaguzi zitafanyika lini mkuu??
   
Loading...