Makongoro Mahanga wakumbuke watu wa Tabata. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makongoro Mahanga wakumbuke watu wa Tabata.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kazikubwa, Sep 15, 2012.

 1. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa muda mfupi ambao nimekuwa nikienda Tabata Segerea kupitia njia ya Vingunguti nimeona umuhimu wa njia hiyo katika kukwepa foleni kali ya njia panda ya Tabata iliyopo Mandela Road. Njia hiyo inadumisha ndoa yangu binafsi kwani nyumba ndogo yangu ipo huko nafanya mambo yangu na kurudi home mapemaaa kama hakuna kitu.

  Nikiwa kama mdau wa Tabata sasa, niliona vema nikawauliza nani mbunge wao na mipango yake ya baadaye, nimeambiwa kuwa ni Makongoro ambaye hana mpango wa kugombea tena jimbo hilo na hana mpango wowote na jimbo hilo. Inawezekana hao niliozungumza nao wana chuki naye kisiasa, lakini cha msingi ni hiki:

  1. Simamia barabara hii itengenezwe ili ipitike katika majira yote, mie naogopa masika huenda yakanikosanisha na
  nyumba ndogo yangu.
  2. Hata kama hutaki kugombea ngwe ijayo, kuacha legacy ni kitu muhimu kwa kiongozi, watu wa Tabata watakukumbuka
  kwa lipi? Ukiachilia mbali sisi watembezi kambi kokote.

  Mnaomjua zaidi embu tusaidieni kumstua jamaa ajenge hiyo barabara, is just 2.Kms.
   
 2. e

  emalau JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  yaani kwa ajili ya nyumba ndogo ndo barabara itengenezwe au?
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  nani kakuambia makongolo hagombei ubunge?

  njoo Italian Pub mida ya usiku utakumbana naye na viongozi wa serekali ya mtaa wa mawenzi.

  anajipanga kwa 2015. ila kazi anayo maana aliwatukana wanaume wa tabata kuwa wana tabia kama za mabaa medi(pengine kwa kuwa anamiliki nyantare na rufita naiti klabu), wakampigia kura za chuki, mi mwenyewe mmoja wao.

  na kama anajipanga na uchaguzi, basi atakuwa anajipanga jinsi ya kuiba kura, maana uchaguzi uliopita aliiba akafanikiwa, kwa hisani ya Baba Rizmoko
   
 4. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kumbe wakishapata uongozi, kazi kubwa wanayoifanya ni kuhakikisha wanaendelea na uongozi kwa kuwarubuni viongozi wa chini badala yakuwatumikia wananchi na baadaye wananchi hao wawape rdhaa tena ya kuendelea kuwatumikia.
   
 5. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  JK akiondoka na Mahanga nae lazima afungashe, wamezoea kubebwa
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,792
  Likes Received: 3,879
  Trophy Points: 280
  Awaangalie watu wa tabata kwani walimpa kura!? Kura zilizompa ushindi si aliiba mchana kweupe hivo hana wa kumshukuru labda waliofanikisha wizi na mahakama iliyopindisha sheria kumlinda!!
   
 7. Sisimizi

  Sisimizi JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 490
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Makongoro hata aje Tabata kwa rushwa ya kila mkazi billioni tatu tatu hawezi kurudi mjengoni.
   
 8. a

  afwe JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Mwacheni ajimalize. 2010 sikumpa kura yangu akashinda kwa kuiba. 2015 nitaingia kwenye kampeni dhidi yake na kuhamasisha ulinzi wa kura zetu ili akose kabisa.
   
 9. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  nani akisimamishwa na Chadema 2015 anaweza kuchukua jimbo?
   
 10. i

  ishengom Senior Member

  #10
  Sep 15, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  huyu jamaa ni mtoa rushwa mkubwa sna hakuna nachokifanya ushindi wake wote ni wa kuiba kuanzia kura za maoni za ccm hadi ubunge wenyewe hiyo barabara kwa kweli ni muhimu sna lile daraja la vingunguti linakata miaka ss haliishi na pale ndo palitakiwa kuwekwa fly over kubwa na ingejengwa barabara pana na kubwa na watu wapembeni wangeamishwa coz ni hatari kipindi cha mafuriko,,tabata tunahitaji mbunge mwadirifu na mpenda maendeleo kuna shule ya msingi tabta amabayo mimi nimesoma hapo hadi nimemaliza lkn nikiangalia leo ni bora kipindi kile cha miaka ya 90 ilikuwa ndo shule tegemeo kwa tabata nzima na iliongoza kwa matokeo mazuri lkn leo hizi zote zimekuwa hadithi,,,nawaomba wana tabata tusikubali kufanya wajinga tena uchaguzi 2015 tuachane na hawa watu wa ccm wanaturudisha nyuma kazi zao ni kufungua mabaa tu kila kukicha ss tabta umekuwa kila kona bar na hakuna huduma za jamii,,,,,,,ni mimi mwana tabata asilia naishi magengeni
   
 11. A2 P

  A2 P Senior Member

  #11
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  segerea hatuna mbunge. Hana msaada kabisa. Sio tutajipanga ni kwamba 2meshajipanga 2015 mwisho wake

   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  ahangaike nao kwani walimpigia kura?

  Hongera kwa nyumba ndogo tabata, sijui wife wako kiserengeti boy chake nae yupo tabata?!
   
Loading...