Mabomu ya machozi ndani ya ofisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabomu ya machozi ndani ya ofisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kuchasoni Kuchawangu, Sep 15, 2012.

 1. Kuchasoni Kuchawangu

  Kuchasoni Kuchawangu JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 469
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Wakuu nimekuwa na maswali mengi sana juu ya polisi kupiga mabomu ya machozi mpaka ndani ya ofisi kule nyololo Iringa.
  1:je lengo lilikuwa kwa waliokuwemo ndani ya ofisi?
  2:nini kilikusudiwa watoke ndani wakimbie?
  3:nini maana yakutawanya watu,walio nje au walio ndani ya ofisi?
  4:je ni agizo la RPC Kamuhanda kuwa wafanye hivyo,maana alikuwepo eneo la tukio akitoa amri.

  Na maswali mengine mengi ambayo unaweza kuyaongezea.Wakuu haya ndiyo mafunzo ya jeshi letu la polisi juu ya kutawanya watu.Hata kama wametawanyika ni halali kupiga bomu la machozi ndani ya nyumba walizokimbilia? Kama hii si haki kwanini viongozi wa juu wa jeshi la polisi wasichukuliwe hatua?

  Nawasilisha.
   
 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Police na ccm wanafikiri kwa kutumia masaburi
   
 3. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,093
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
 4. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ulishaambiwa wale hawakuwa polisi ila green guard ya Ccm na haikwenda pale kutawanya watu ilikwenda kuua wafuasi wa chadema kwa amri ya Ccm na kamuhanda ndo maana hata ukigoogle jana la pacificus cleophus Simon haonekani kama aliwahi hata kusoma shule tu ya secondary manaake ni kibaka tu wa mtaani ambaye haelewi hata taaluma ya mabomu wala amri za kipolisi na ndo maana wakawa wanapiga mabomu mpaka ndani ya nyumba kama wanafukuza mbu kwa dawa ya rungu
   
 5. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Police na ccm wanafikiri kwa kutumia masaburi
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Polisi wanapiga mpaka ndani ya misikiti hayo mabomu ya machozi, wala siyo issue. Leo wajivuni wachache wanapotiwa adabu inakuwa issue?
   
 7. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,643
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Waliambiwa wasubiri amri, ila waende kwenye target. Unajua target ilikuwa ni nani? Ni yule waliyemshuku kuwa yupo ndani! Na walipomkosa, hasira zao zikahamia kwa waandishi.

  Mungu akisema siyo hata ukeshe uchi kwenye barafu na kutoa makafara kwa ibilisi haiwezi kuwa ndiyo.
   
 8. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,481
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Zomba we naona ni mpagani kila uchangiapo 90% ni lazima utaje kanisa au msikiti.
   
 9. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hizo ganister ni zile walizoziingiza nchini kinyume cha sheria na ndio maana Nape kasema wao hawatakwenda mahakamani kushtaki akijua ukweli kuwa wataumbuka.
   
 10. Jagarld

  Jagarld JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 1,542
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  Niemöller is perhaps best remembered for the quotation:
  First they came for the Socialists, and I did not speak out--
  Because I was not a Socialist.

  Then they came for the Trade Unionists, and I did not speak out--
  Because I was not a Trade Unionist.
  Then they came for the Jews, and I did not speak out--
  Because I was not a Jew.
  Then they came for me--and there was no one left to speak for me.
  Unaweza ukashangilia lakini hakuna ajuaye kesho na keshokutwa zamu ya nani,jambo baya likitokea itikadi,ukanda,ukabila au dini ni vitu ambavyo havitakiwi kujionesha dhahili mlengo wa kushoto.
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni shule ndo maana busara ya walio wengi ni ndogo!!!!
   
 12. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,867
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
 13. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mbona siku ile nje ya Wizara ya Mambo ya ndani walipoandamana bila hata ya kibali, tena mbele ya kamanda Kova POLISI hawakurusha hata karatasi. weeeeee....

  DSC_0253.jpg

  View attachment 65037
   
 14. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ... unao umakini wa hali yaa juu sana mkuu!!!

   
 15. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  mkuu polisi ni CCM
   
 16. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #16
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Heri kama na wewe umeona
   
 17. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #17
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  polisi na sisiemu wote ni wale wale. Kova na Nape nafasi moja ya progaganda
   
 18. Bartazar

  Bartazar JF-Expert Member

  #18
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 805
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Zomba, Hivi Lumumba wanakulipa bei gani kwa kazi unayoifanya humu jf, na unajishughulisha na kazi gani nyingine?
   
 19. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #19
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,322
  Likes Received: 2,686
  Trophy Points: 280
  Polisi siyo wabaya hasa wale wa ngazi za chini.polisi anafanya kile ambacho bosi anahitaji akifanye.akitumika vibaya ndivyo hivyo atakavyo fanya halafu ukamgeuza polisi huyohuyo uliemtumia vibaya akafanya mabaya ukamtumia ili afanye vizuri atafanya vizuri sana.tatizo liko kwa wakubwa ambao wanalazimika kupigana kufa na kupona ilikulinda nyazifa zao.wanaelewa fika kuwa ccm itakapoondoka nao kwa heri.kuliko askari wadogo wanaoelewa kuwa hakunawatakachopoteza.ije cdm,tlp,nccr wao watakuwepo tu.ukizingatia kuwa hakuna chama kitakacho kuja na askari wake baada ya kupata madaraka vyote vina wategemea askari hawahawa.jibu chaguwa viongozi bora wawatumie askari vizuri wafanye kazi zuri.
   
 20. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #20
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,322
  Likes Received: 2,686
  Trophy Points: 280
  Polisi siyo wabaya hasa wale wa ngazi za chini.polisi anafanya kile ambacho bosi anahitaji akifanye.akitumika vibaya ndivyo hivyo atakavyo fanya halafu ukamgeuza polisi huyohuyo uliemtumia vibaya akafanya mabaya ukamtumia ili afanye vizuri atafanya vizuri sana.tatizo liko kwa wakubwa ambao wanalazimika kupigana kufa na kupona ilikulinda nyazifa zao.wanaelewa fika kuwa ccm itakapoondoka nao kwa heri.kuliko askari wadogo wanaoelewa kuwa hakunawatakachopoteza.ije cdm,tlp,nccr wao watakuwepo tu.ukizingatia kuwa hakuna chama kitakacho kuja na askari wake baada ya kupata madaraka vyote vina wategemea askari hawahawa.jibu chaguwa viongozi bora wawatumie askari vizuri wafanye kazi zuri.
   
Loading...