Ni unafiki wa CHADEMA, Mbowe au Dr. Kitila Mkumbo?!

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Hapo siku chache zilizopita CHADEMA kupitia mwenyekiti wake Taifa hon. Freeman Mbowe wali-declare uamuzi wa kuisusia na kutangaza mgogoro na TBC1 tv na Radio yake pamoja na kuutangazia umma kuwa TBC1 ni janga la kitaifa, pia ikumbukwe kwamba maamuzi hayo si ya Mbowe as a chairman bali ni maamuzi yalitokana na kamati kuu ya chama.

Iwaje sasa Dr.Kitila Mkumbo ashiriki kwenye kipindi cha TBC1 cha" THIS WEEK IN PERSPECTIVE" kinachorushwa leo hii saa 3 na TBC1? Pia ikumbwe Dr.Kitila ni mmoja wa viongozi wa juu wa chama.

Pia itakuwaje kama kesho akija na Zitto naye kushiriki TBC1 mtamwitaje?

My outlook:
Je huo ni unafiki wa CHADEAMA, Mbowe au Dr.Kitila?
 
toa ujinga ujinga hapa lela hoja zenye akili. unalia lia kama demu, inakuuma sana mkumbo kitila kuwapo TBC??, na sio Zitto.
 
Kuna rafiki yangu China anaitwa Gigi ... he is very smart ... the opposite way
 
kimerekodiwa zamani. Wamesusia kwenye mambo ya kisiasa. Wakiitisha press ujue TBC marufuku
 
Umetumwa?! Elewa Dr. Mkumbo anashiriki akiwa ni mtaalam wa lugha na sio kama mwanaCHADEMA, jifunze kutenganisha kazi na mambo ya siasa.

Mods, watu wa aina hii wananitafutia BAN, hebu muwe mnachungulia kabla ya kutupiga BAN.
 
this week in perspective si TBC wewe kile ni kipindi kama vingine puia vyaweza rushwa tv nyingine
 
Hapo siku chache zilizopita CHADEMA kupitia mwenyekiti wake Taifa hon. Freeman Mbowe wali-declare uamuzi wa kuisusia na kutangaza mgogoro na TBC1 tv na Radio yake pamoja na kuutangazia umma kuwa TBC1 ni janga la kitaifa, pia ikumbukwe kwamba maamuzi hayo si ya Mbowe as a chairman bali ni maamuzi yalitokana na kamati kuu ya chama.

Iwaje sasa Dr.Kitila Mkumbo ashiriki kwenye kipindi cha TBC1 cha" THIS WEEK IN PERSPECTIVE" kinachorushwa leo hii saa 3 na TBC1? Pia ikumbwe Dr.Kitila ni mmoja wa viongozi wa juu wa chama.

Pia itakuwaje kama kesho akija na Zitto naye kushiriki TBC1 mtamwitaje?

My outlook:
Je huo ni unafiki wa CHADEAMA, Mbowe au Dr.Kitila?

pamoja na kwamba huwa sipo kimahaba kichama kwasababu si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Lakini kiuhalisia Dr kitila hayupo pale kuwakilisha Chama au kwa ajili ya shughuli ya kichama (kama unafuatilia mjadala kwa ufasaha). Dr Kitila yupo pale kama mwanazuon kwa ajili ya kuchambua hoja iliyopo Mezani na kutoa mawazo yake kama Msomi. So hayupo pale kuelezea mambo yanayoihusu CHADEMA. Ni hayo tu mkuu.
 
Umetumwa?! Elewa Dr. Mkumbo anashiriki akiwa ni mtaalam wa lugha na sio kama mwanaCHADEMA, jifunze kutenganisha kazi na mambo ya siasa.

Mods, watu wa aina hii wananitafutia BAN, hebu muwe mnachungulia kabla ya kutupiga BAN.

mkuu mimi sio gamba but nataka kuweka sawa double standard ndani ya chama chetu ktk kusimamia maazimio ya chama, kipindi hicho sio cha lugha bali wanazungumzia siasa za bunge kwa wabunge wa upinzani na chama tawala.
 
kweli kabisa.......
 
Pro Chadema bwana mwenyekiti wao akila mavi na wao watakula kwa mwende huu ni Kama bendera hawajijui
 
Mleta mada hebu tujulishe: Anachoongelea Dr. Mkumbo hapo TBC ni masuala ya Chadema?
 
Kama ni kweli, Dr. Kitila amekosea kulingana na msimamo wa chama;
 
Kwa staili hii, MODs, hawa mafala wa CCM, inabidi muwape BAN, otherwiz itakuwa unafiki...
 
Back
Top Bottom