Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Leo Umoja wa Wanawake wa CCM wamemfanyia sherehe kubwa Dr Asha-Rose Migiro kwa kurejea kwake nchini baada ya miaka yake 5 kama Naibu Katibu Mkuu wa UN, kazi ambayo wakina mama hayo wamesema aliifanya kwa weledi na kwa mafanikio makubwa.
Mafanikio makubwa? Hivi wanadhani hatujui kwamba Dr migiro alishindwa kupeform hiyo kazi na ndiyo maana ameng'olewa baada ya kipindi kimoja tu?
Mafanikio makubwa? Hivi wanadhani hatujui kwamba Dr migiro alishindwa kupeform hiyo kazi na ndiyo maana ameng'olewa baada ya kipindi kimoja tu?