Tawi la Kagera Mikoroshini lahamia CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tawi la Kagera Mikoroshini lahamia CUF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CUF Ngangari, Sep 15, 2012.

 1. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  operation mchakamchaka hadi 2015 leo imeendelea katika kata ya ndugumbi na kuzoa wanachama wote 114 wa ccm katika tawi kagera mikoroshini na kushusha bendera ya CCM na kupanda ya CUF, akiongea katika mkutano wa kuwapokea wanachama hao aliyekuwa mwenyekiti wa tawi hilo bw Adam amesema aliingia CCM akiwa mtoto alikuwa hajui kitu lakini sasa amekuwa na akili na ameamua kuachana chama hicho, naye kada maarufu wa kata hiyo ya ndugumbi mwajuma amesema nguvu aliyoitumia alipokuwa CCM sasa anaihamishia CUF kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa na madiwani.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hii kauli mbiu ya CUF ina maana gani?

  Je hawakuwa na wataalam wa kuleta kauli mbiu yenye maana fasaha?  Mchakamchaka, Chinja chinja tupa , Mchakamchaka, chinja chinja tupa!
  Alinselema alija, alinsema alija...

  Mchakamchaka, Chinja chinja , Mchakamchaka, chinja


  [​IMG]
   
 3. m

  mshaurimkuu Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nikikumbuka na yale makontena ya visu waliyowahi kuingiza nchini mwaka 2000 (kama IGP enzi hizo, Omar Mahita, alivyoutangazia ulimwengu) sina hamu na hawa watu. Wanaweza kuchinja kweli ujue?
   
 4. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  no longer tutaambiwa zilikuwa oil chafu hizo we subiri hapa hapa
   
 5. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
   
 6. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  So fun this site! Nimecheka sana hadi watu wananishangaa hapa harusini, Good weekend. Folks
   
 7. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kagera mikoroshini pande zipi hiyo mkuu? Isije ikawa kule maeneo ya Black-Belt kwa wale mateja wamejifanya wamehamia CUF ili wapate hela za kwenda kupona.................Hongereni sana kwa kuwavua magamba.
   
Loading...