M4C Leo Arumeru Mashariki Na Maeneo Jirani.

Puppy

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
2,995
2,494
Kutoka KIA, Kingori, Kibaoni, Kikatiti, Maroroni, Njia Ng'ombe, Maji Ya Chai, Kwa Alois, Kambini, Momela Usa-River na Leganga.

Na Kutoka Arusha mjini, December, Ngalimi, Mianzi, Sanawari, Phillips, Kimandolu, Ngulelo, Kwa Mrefu, Madukani, Shangarai, Chama, Kwa Pole, Sang'si, Tengeru, Kwa Fundi, Madira, SowMeal, Kilala, na Makumira na Danish

Na wa maeneo yoooooote ya Jirani Ngarenanyuki to Mbuguni.
Na pia sisi wa online

Tukutane wote mji mwema uwanja wa soko mjinga karibu na palipokuweko ofisi za Tanesco au maarufu kama kwa jiranii kuanzia saa saba mchana mpaka kumi na mbili kumsikiza na kumpa matatizo yetu Mbunge wetu Joshua Nassari.

Chadema Ringeu
 
Ninyi mnawakosesha watu usingizi, maana wanapoelekeza nguvu Iringa, wengine wanatifua vumbi Arusha. Mwaka huu hakuna kulala.
 
Ninyi mnawakosesha watu usingizi, maana wanapoelekeza nguvu Iringa, wengine wanatifua vumbi Arusha. Mwaka huu hakuna kulala.

Mkuu wanakosa usingizi kwa ujinga wao tu. Siku zote wakiilinda mikutano na kusindikiza maandamano hakuna maafa yatokeayo. Lakini kwa nguvu wanazotumia, kila siku watu wapya wanafunguka akili na kutaka kujua kuna nini huko wanaponyimwa kupaona kwa mtutu wa bunduki. Mpaka 2015 ka style yao watabaki wenyewe tu, hata watoto wao watawahama
 
Ebwana wee nilitaman ningekuwa mahome muda kama huu niweze hudhuria mambo ya Joshua na M4c kwa pa1 ila bas niko mwanza kikaz ila nimekumbuka ma home aisee. Eroo jombaa bado tuko pa1 naomba unijulishe kitakachojiri huko mahome. Niko kichuga chuga! Nimemazaliwa R-chuga! Sina nidhamu ya uwaga. Oyooo People's power ful kuwaweka watu wa kijani hoi kwan najua muda huu hawahemi hawakohoi
 
Atawaelewa? Ilibidi mumfungie siku tatu ndani kabla ya kikao hapo ndio mtaongea naye akiwa fresh. Haya nendeni msisahau kuyarekodi hayo matatizo yenu. Mmmhhhh
 
chadema Ndio maana daily mnaambiwa na chama cha kaskazini japokuwa si kweli lakini kutokana na mambo kama haya, sasa badala nyie mje na M4C hata mavijiji ya Tabora na iringa nyie daly mnakazana huko huko kaskazin.
 
Atawaelewa? Ilibidi mumfungie siku tatu ndani kabla ya kikao hapo ndio mtaongea naye akiwa fresh. Haya nendeni msisahau kuyarekodi hayo matatizo yenu. Mmmhhhh

Ni wa kwetu, tulimchagua sisi na atatuelewa. Tumemzungusha jimbo zima na leo ndio muda wakusemea aloyaona na vipaumbele vyake kutatua hizi changamoto.
 
chadema Ndio maana daily mnaambiwa na chama cha kaskazini japokuwa si kweli lakini kutokana na mambo kama haya, sasa badala nyie mje na M4C hata mavijiji ya Tabora na iringa nyie daly mnakazana huko huko kaskazin.

Mheshimiwa huyu jamaa ni Mbunge halali wa Arumeru, na huu ndio muda wake kuwasikiza wana arumeru mkuu. Sioni ubaya hapo wala ukanda.
 
Nakumbuka sana hayo maeneo natamani ningekuwa bado sijahama ok nawatakia wote mkutano mwema ok vipi jirani kesi yake imeendaje? mpe hi sana na vipi wale walioshikwa kwa mauaji ya mbwambo?
 
Nakumbuka sana hayo maeneo natamani ningekuwa bado sijahama ok nawatakia wote mkutano mwema ok vipi jirani kesi yake imeendaje? mpe hi sana na vipi wale walioshikwa kwa mauaji ya mbwambo?

Chinga na wale wachzi bado wako kisongo, ila Jiranii yuko mtaani
 
Chinga na wale wachzi bado wako kisongo, ila Jiranii yuko mtaani

du namkumbuka chinga sana kwani ndg yake ni fundi seremala kule ngarasero na vituko vya jirani vya kuingiza kura kwenye chumba kwa chupa ya chai pale leganga siku ya uchaguzi mamiss sana hayo mazingira but mkutano mwema makamanda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom