Katika hali inayopelekea sintofahamu kwa wananchi ni utendaji kazi wa Serikali ya Jk katika kutekeleza Ahadi ya Maisha bora kwa Kila Mtanzania. Kumekuwa na semina elekezi nyingi vikao vingi lakini...
Kwa muda wa miaka kadhaa wadau wanahusiana na masuala ya ukimwi na VVU wamekua wakitoa maoni yao na kurusha shutuma kuwa mbio za mwenge ni kichocheo kikubwa cha maambukizi mapya ya ukimwi hasa...
Mwanzoni wakati CHADEMA wanatangaza kumsusia Tendwa, binafsi sikuona hasara yeyote kwa Tendwa (mpaka sasa sijaiona) Ila kwa jinsi Tendwa anavyoangaika kurejesha mahusiano yake na CHADEMA, nahisi...
chadema wilaya ya masasi inatarajia kufanya mkutano mkubwa eneo la STEND YA MABASI itakayo endendana na uzinduzi wa matawi mawili eneo la stend na lingine kule nyasa west,wana m4c wote na wananchi...
Wanabodi,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, kimewataka madiwani watano walioshindwa kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama kulipa gharama za kesi hiyo kiasi cha Sh15 milioni la sivyo...
Nation held at ransom as Dowans corners Tanesco
Saturday, 22 September 2012 09:04
By The Citizen Reporter
Dar es Salaam
Only the Court of Appeal can avert a looming power crisis...
Wiki chache zilizopita nilikuwa safarini kutoka Ushirombo/Bukombe kuja Dar kwa bus. Muda mwingine nikiwa macho nilikuwa naangalia mandhari nzuri ya njiani na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa...
Sitta: Uchaguzi ndani CCM umevurugika
Saturday, 22 September 2012 13:04
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
Tausi Mbowe, Kahama
Mwananchi...
SEKRETARIETI YADAIWA KUPENDEKEZA WAKATWE,VURUGU ZA NZEGA ZAWAPONZA
MAKALI ya panga la Sekretarieti ya CCM, yameanza kuonekana baada ya majina ya wagombea wa nafasi ya Halmashuari Kuu (Nec) ya...
Nchi imekwama; tayari Kikwete amelemewa (1)
na
Freeman Aikaeli Mbowe
Mwenyekiti Taifa
KAMA ilivyo kawaida, ukiandika ukatoa hoja, tarajia maswali, pongezi na hata kejeli kutoka kwa wasomaji...
Wanajamvi nashindwa kuelewa mfumo wetu wa utawala maamuzi yao dhidi ya vyama vya upinzani hasa Chadema. Wakifanya mikutano ya ndani kufungua matawi kama kule iringa wamelikosea jeshi la police...
Ni kipindi kirefu sasa kutokea Mzee wetu huyu kumsikia kauli yake ikiwa katika ulingo wa siasa au kijamii, haifahamiki yupo katika mazingira ya aina gani, imetufanya baadhi yetu tunao fatilia...
Chama cha wanasheria Tanzania, TLS, kimemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano kuteua tume ya kijaji, ambapo zaidi ya nusu ya hao majaji wanapaswa kutoka nchi za commonwealth nje ya Tanzania ili...
The Chairman of the TCME, Mr Joseph Kahama
Mining chamber faults govt over violation of contracts
By Waryoba Yankami
21st September 2012
Mining companies have levelled...
UTAJIRI wa gesi asilia Tanzania, unatishiwa na ufisadi ndani ya mfumo wa utawala na kuna taarifa za uhamishaji wa fedha zinazohofiwa kutokana na uwekezaji katika sekta hiyo.
Uchunguzi umeonyesha...
Ni muda muafaka kwa mtaka mabadiliko kuwa sehemu ya mabadiliko!hatuhitaji mapanga,mikuki,bunduki au silaha yoyote kuiondoa/kupigana na ccm kwani ccm sio kitu bali watu.tukipigana na ccm ni...
Wanachama wa CDM mjini Morogoro wamefanikiwa kuuteka msiba wa mtoto wa kiongozi wa CCM na kugharamia chakula, sanduku na gari la kubeba mwili. Mfiwa alikubali msaada huo baada ya CCM wenzake...
Ijumaa, Septemba 14, 2012 09:06 Mwandishi wetu
KUFUNGWA kwa migodi ya dhahabu ya Tulawaka Biharamulo, Resolute ya Nzega, na Barrick kuwa katika mipango ya kuuza zaidi ya hisa zake asilimia 70...
UTANGULIZI
Julai 13, 2012 Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni iliwasilisha Maoni yake kuhusu Mpango na Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2012/2013. Pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.