Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kuutikisa mji wa masasi na vitongoji vyake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MIRICHE, Sep 23, 2012.

 1. M

  MIRICHE Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chadema wilaya ya masasi inatarajia kufanya mkutano mkubwa eneo la STEND YA MABASI itakayo endendana na uzinduzi wa matawi mawili eneo la stend na lingine kule nyasa west,wana m4c wote na wananchi wapenda mabadiliko mnaalikwa kuhudhuria mkutano huo.KWA PAMOJA TUUNGANE TUIJENGE MASASI YETU.
   
 2. F

  FUSO JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 9,838
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Hata Masasi nao waikubali M4C? aisee nachukua nafasi hii kuishukuru CCM kwa uongozi wa taifa hili tangu uhuru. babadiliko hayazuiliki 2015.
   
 3. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,101
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Mbona hujasema ni lini? Au umeogopa Kamuhanda atajua?

  Naona Kusini hamna mzaha siku hizi. Mnataka mabadiliko.
   
 4. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,951
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  kila la kheri wana masasi kila la kheri cdm asanteni wana masasi kwa kuchagua fungu lililo jema
   
 5. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,738
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  haa haaa haaa ... mkuu nimeipenda hii ya kuanza kutoa shukrani mapema hii
   
 6. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kila la heri M4C tunataka mabadiliko ya kweli yatakayohakikisha maendeleo endelevu kwa vizazi vijavyo.
   
Loading...