Kuna hasara gani kwa msajili wa vyama vya siasa kususiwa na chama cha siasa?

Dijovisonjn

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
466
125
Mwanzoni wakati CHADEMA wanatangaza kumsusia Tendwa, binafsi sikuona hasara yeyote kwa Tendwa (mpaka sasa sijaiona) Ila kwa jinsi Tendwa anavyoangaika kurejesha mahusiano yake na CHADEMA, nahisi kuna hasara anapata, je, ni hasara gani Tendwa anapata kwa kususiwa na CHADEMA?
 
hapana hasara kwa bwana tendwa na wala sijaona wala kuskia msajili akiwa anahangaika kuurudisha uhusiano....zaidi ni hasara kwa chadema kuzidi kukalia kuti kavu kufutiwa usajili kwa uhuni wanaofanya
 
Tendwa ameona mbali inabidi mahusiano yawe mazuri kabla ya 2015 kwani iwapo CDM watachukua nchi 2015 anaweza kuwa na wakati mgumu.
 
hapana hasara kwa bwana tendwa na wala sijaona wala kuskia msajili akiwa anahangaika kuurudisha uhusiano....zaidi ni hasara kwa chadema kuzidi kukalia kuti kavu kufutiwa usajili kwa uhuni wanaofanya
Jitahidi kuushughulisha Ubongo wako vizuri unapochangia hoja.
 
Back
Top Bottom