Wanajamvi Mbunge huyu anamiliki kituo cha Radio hapa Moshi mjini almaarufu kama MOSHI FM,Kituo hiki ni maarufu sana hapa Moshi mjini haswa ikifikia wakati wa shughuli za chama,kinatowa msaada...
Watu wa wilaya ya monduli tunasubiri sana kwa hamu tume ya katiba mpya,au tumechakachuliwa na mzee wetu wa ngarash jamani? tunawasubiri ili tuweze kutoa mawazo/mapendekezo yetu ili tuwe na katiba...
Introduction The hydrocarbon industry is regulated by the Ministry for Energy and Minerals. Upstream petroleum activities are governed by the provisions of the Petroleum (Exploration and...
Katika muendelezo wa M4C kesho ndani ya moshi manispaa aliyekuwa mbunge wa Arusha MH.GODBLES LEMA atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya railway akishirikiana na mstahk meya wa...
Kauli ya mh. John Pombe Magufuri aliyoitoa hivi karibuni kwamba haogopi kurogwa hivyo ataendelea kufanya kazi kwa kufuata sheria na kanuni za nchi ni kauli ya kushtua. Nasema ni ya kushtua...
Wanawake Arumeru Mashariki wampa onyo Mbunge wao, Nassari la sivyo atajajuta
20/09/2012
Na Queen Lema, ARUSHA -- Wanawake wa eneo la Kisambare, Usariver, wilyani Meru mkoani Arusha...
Wateule wa Rais wathibitishwe na Bunge
Baraza lisiwe na mawaziri zaidi ya 15
Vyama viungane siku 21 kabla kampeni kwisha
Rais aunde tume huru kwa ushauri wa wadau
Chama cha Wananchi (CUF)...
Tarehe 27 August, Jumatatu, umekuwepo na mkutano mkubwa sana ambao haujawahi kutokea hapo K ndege (Fire) kwa ajili ya wakazi wa morogoro mjini.
Maandamano yaliingiliwa na polisi lakini...
JuJu Fears For His Life
Expelled ANC Youth League leader Julius Malema claims his life is in danger because of a conspiracy against him by President Jacob Zuma and several ministers.
"If we...
The Malawi Government has indicated its protracted boarder dispute with Tanzania will not be tabled at this years United Nations General Assembly which begins on Tuesday, September 18 at its...
Ratiba Ya Uchaguzi Mdogo Wa Madiwani
.
Na Veronica Kazimoto- MAELEZO Dar es Salaam 20/09/2012.
Uchaguzi mdogo wa Madiwani katika kata ishirini na tisa na halimashauri ishirini na saba Tanzania...
Leo katika viwanja vya Igoma Umati mkubwa sana ambao watu hawakutegemea kutokana na sumu ilo kuwa imeenezwa kwa wananchi kupitia madiwani wawili waroho wa madaraka nzuri zaidi wananchi wameelewa...
ONDON The Secretary General of the United Nations has warned that declining aid donations mean many of the UN Millennium Development Goals are likely to be missed. The UN says official...
WanaJF hapa chini ni baadhi tu ya hoja zilizowasilishwa kama rufaa kupinga kilichofanywa na jaji katika kumvua ubunge. Je, tutegemee nini hasa.
"
Monday, 07 May 2012 10:00
Lema awasilisha...
Norways petroleum boss gives tips to TZ
Send to a friend
Friday, 21 September 2012 07:49
digg
By Alawi Masare
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Tanzania should start planning...
*Ni awamu nyingine ya M4C
*Zitashambulia mikoa minne
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinakusudia kuendelea na Operesheni Sangara kwa nguvu kubwa ikiwemo kutumia helkopta nne...
20 SEPTEMBER 2012
Daud Magesa,Mwanza na Zourha Malisa, Dar
KITENDO cha wananchi kumzomea Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda, kinaonekana kuanza kuwachang'anya viongozi wa CCM, ambapo Umoja wa...
IJUMAA, SEPTEMBA 21, 2012 06:10 NA MWANDISHI WETU, BUSEGA
HEKAHEKA za uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimeanza kuchukua sura mpya, ambapo Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.