Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF nimekuja hapa tena baada kusikitishwa na Jinsi Nyerere na Ukiachilia mbali wailomtangulia wanavyobezwa katika Majukwaa ya 'Kisiasa' ya Serikali hii katika kuzindua Miradi ya TAIFA ! Iwe...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Closed
http://www.israelnationalnews.com/News/News.aspx/160080#.UF5K0a4i5k1 New Cartoon: Jew Pushes Mohammed in Wheelchair The new satirical cartoon of Mohammed in a French magazine shows an Orthodox...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu mniwie radhi, mida ya jioni kuna jamaa yangu alinipigia simu na kudai kwamba Marando alikuwa akihojiwa na Kituo cha redio cha Magic Fm. Hakuweza kuendelea kunijuza aichoongea kwani network...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
  • Closed
Heshima mbele wakuu Taarifa zilizotoka hivi punde kutoka kwenye mitambo na nzi wetu wamekamata kwenye antena zao zinasema muda si mrefu mkulu atampiga chini Bw.Hosea wa takukuru na kumweka...
0 Reactions
103 Replies
16K Views
Tukio la kuuawa kwa mwandishi huyo bado limevuta hisia za wananchi wengi ambapo shinikizo linaelekezwa kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Michael Kamuhanda, likimtaka ajiuzulu kama sehemu ya...
2 Reactions
60 Replies
6K Views
Tumepata Taarifa kwamba leo kuanzia saa nane, katika viwanja vya Jamhuri morogoro kutakuwa na ziara ya Tume ya katiba kwaajili ya wananchi kutoa maoni ya rasimu ya katiba mpya. Wananchi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The Tazara station in Kapiri Moshi, Zambia. The joint railway firm between Zambia and Tanzania has signed a $42m financing deal with China. Photo/FILE Nation Media Group By JOINT REPORT The...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Amesema hayo katika Mahafali ya Darasa la 7 Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga kwa Rafiki yake Lembeli. Ambapo aliialikwa kama mgeni Rasmi kwa nafasi yake ya Waziri wa Afrika Mashariki, Amekiri...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
NA HUU NAZANI UTAKUWA NI UONGO AU NI PHOTO SHOP
5 Reactions
71 Replies
8K Views
Habari za punde kutoka chanzo cha ndani kabisa cha serikali na vikao vya juu vya CCM kinaeleza mipango mikubwa kabambe ya hila za kisiasa kuhakikisha kwa hali na mali CCM inabaki madarakani 2015...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Waraka wa mbowe kwa kikwete huu hapa.hebu tuujadili Waraka wa kwanza wa Mbowe kwa Kikwete Freeman Aikaeli Mbowe | Mwenyekiti CHADEMA Taifa MHESHIMIWA rais, Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi...
6 Reactions
41 Replies
5K Views
Rais Kikwete jana akizindua ujenzi wa daraja la Kigamboni aliwataka wapinzani wajifunze utamaduni wa kusifu yale mazuri yaliyofanywa na serikali ya CCM ili nao wakipata madaraka wafanye mara tatu...
10 Reactions
60 Replies
7K Views
Wana Jf,Julius Malema ni kijana mzalendo na jasiri ktk karne hii,anasimamia maslahi ya wazawa Afrika kusini,alimsaidia rais Zuma kushinda urais kabla ya kuvuliwa uanachama wa ANC. Anasimamia...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
tunajitahidi sana kuwasaidia Chadema wakamate dola,tunahatarisha maisha yetu na biashara zetu na familiya zetu ili waingie madarakani,lakini mategemeo yetu makubwa ni kuona mabadiliko mara...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Kutoka na majaji wengi kuwa na majukumu mengi Dar es salaam na muingiliana wa kesi na majukumu mengine nimemsikia Reporter wa ITV akisema Kesi ya LEMA itaamishiwa Dar es Salaam. Source: ITV Bado...
3 Reactions
120 Replies
12K Views
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akutana na mkurugenzi wa mambo ya nje, Ofisi ya Zanzibar na uongozi wa tiba asilia Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chama cha Mpinduzi (CCM) kinahaha kuzuia uvujaji wa siri za vikao vya juu vinavyoendelea mjini hapa kwa kuwaelekeza walinzi wake kuwazuia waandishi kuingia ndani ya viwanja vya Jengo la White...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Na Beatrice Shayo Baadhi ya vigogo waliowahi kuliongoza Jiji la Dar es Salaam akiwemo Charles Keenja ni miongoni mwa wanaodaiwa kuuziwa eneo la mradi wa Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nawapenda CHADEMA, napenda kuwasikiliza, saa nyingine nahudhuria Mihadhara yao, lakini mimi binafsi nina tatizo moja, nahofia mabadiliko, nahofia nini kitakuja baada ya CCM kuondoka, pamoja na...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
  • Closed
Demokrasia ya kweli ni lazima ianzie katika vyama vya kisiasa. CHADEMA ni chama pekee katika vyama vikubwa TZ kilichoonyesha uchanga mkubwa wa Demokrasia hususan katika chaguzi za nafasi za juu...
4 Reactions
106 Replies
7K Views
Back
Top Bottom