Jk mawaziri wako wanatekeleza magizo yako au wanakupotezea? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk mawaziri wako wanatekeleza magizo yako au wanakupotezea?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KOMBAJR, Sep 23, 2012.

 1. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Katika hali inayopelekea sintofahamu kwa wananchi ni utendaji kazi wa Serikali ya Jk katika kutekeleza Ahadi ya Maisha bora kwa Kila Mtanzania. Kumekuwa na semina elekezi nyingi vikao vingi lakini bado mambo yanakwenda hali jojo!JK amekuwa akionyesha ukali na kuwakoromea katika vikao mawaziri juu ya utekelezaji wa maagizo yake kama inavyoonekana kwenye hii picha:
  bml1.jpg Maswali ya msingi:
  1. Maagizo anayowapa hayana tija ndiyo maana wanampotezea?
  2. wamemchoka ila wanashindwa kumwambia?
   
 2. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,866
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Kwenye hii picha, Mheshimiwa Raisi anaonekana amekasirika sana!!! Wamemuudhi nini yarabi??? Ila dharuba kama inamwelekea Dr Mgimwa, au??? Halafu Waziri Mkuu kajituliza tu pembeni, na Mhe Sitta anachungulia kujua kulikoni!!!
   
 3. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Magembe anaangalia kama anaelewa vile akitoka hapo back to square one:frusty:
   
 4. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hakuna anayemwelewa maana mgimwa ni dr.wa ukweli sitta ni lawyer Domo kubwa ni prof.Kayanza nayeye dr.wa makunyanzi wote wanamwangalia huyu ****** vipi mbona anamaindi mambo asiyoyajua????Kwa ufupi hapa Tz hakuna raisi wala mawaziri ila majizi yakiongozwa na jizi jenzao na hapo yanapanga kumalizia hata pesa za kununulia dawa na walala hoi ili yakajenge nyumba marekani!!!Shame on you JK na vibaraka wako
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Tena ni Aibu kubwa kwa Rais kuburuzwa na waziri wa ujenzi kwenda kuzindua vichochoro badala ya barabara za juu Kama alivyo ahidi 2010. Mwenzake kibaki waziri wake wa ujenzi kafanya kufuru kwa hiyo mibarabara ya juu anayojenga huko Nairobi
   
 6. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Inshort Mkuu bila kumungunya maneno wala kupepesa macho timu inapofungwa kuna mawili:
  Either kocha mbovu na maagizo au malekezo yake hayaeleweki au hayana tija kwa mustakabali wa timu
  or Wachezaji ni wabovu awawezi kuendana na kasi ya mchezo
  Soln Ni kuoverall!:A S 39:
   
 7. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Umeahidi umejaribu 10% ya utekelezaji wa ahadi then unacapitalize watu wakupigie makofi....inaingia akili kweli hii?:nono:
   
 8. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  kama vile vibarua wanagombania mgawo uliokuw haujapangwa kiasi cha kila mtu...Sijui kwanini kama kila kitu haki work asijariu mbadala?au ndio insanity hiyo..?
   
 9. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 10. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  zote bongo lalalalalaa
   
Loading...