Kunya kanya kuku akinya bata kaharisha

Karibuni masijala

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
409
135
Wanajamvi nashindwa kuelewa mfumo wetu wa utawala maamuzi yao dhidi ya vyama vya upinzani hasa Chadema. Wakifanya mikutano ya ndani kufungua matawi kama kule iringa wamelikosea jeshi la police kuna hili kuna lile hawarusiwi, CCM wakifanya mkutano wa nje inakubalika police wapo kulinda na vibali.

Chadema police wengi wapo wa kutawanya mikutano hata ya ndani na hata vyama vingine vya upinzani vinavyosema tunaenda kuisambaratisha chadema Arusha utashangaa hata uwanja unapatikana kirahisi na police kuridhia. Au ndo kunya anye kuku akinya bata kaharisha kwa maana siasa wafanye CCM wakifanya wengine ambao nao ni chama cha siasa kama ssmu wamefanya fujo wamefanya siyohasa.

Tuelimishane, Turekibishane, Tukosoane, tuelewane na mwisho tusamehane kwani Tanzania ni Zaidi ya uijuavyo karibuni kwa maoni, hoja na hata hio hoja ili tuchambue tupete mwisho hata vioja mwenye hekima na busara ataona namna ya kujibu ili kupata ufahamu na uelewa kuelimika
 
Back
Top Bottom