Athari za ccm kwa miaka 10 ijayo

hayaland

JF-Expert Member
May 4, 2012
712
399
Katika kutafiti nimeona kuna madhara mkubwa ambayo tunatarajia kuyapa kupitia ccm
 
utafiti nilioufanya kwa kipindi cha wiki mbili nimegundua chama cha mapinduzi yaani ccm kinaongozwa na viongozi wasio na huruma kabisa ndo maana hakuna anayejiudhuru au kuwajibika pale panapotoke madhara yanayosababishwa na viongozi wake,pili wananchi wengi wamefunguka watakapokaa na kutathmini ndugu na jamaa na ndugu zao waliouawa nchi aitatawalika.
 
We mashada mbona ikitajwa ccm unachanganyikiwa? kulikoni?Au huoni jinsi watanzania wanavyouawa na maisha yanavyozidi kuwa magumu?
 
Back
Top Bottom