Yu wapi mzee Kingunge Ngombare Mwiru? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yu wapi mzee Kingunge Ngombare Mwiru?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Babylon, Sep 23, 2012.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ni kipindi kirefu sasa kutokea Mzee wetu huyu kumsikia kauli yake ikiwa katika ulingo wa siasa au kijamii, haifahamiki yupo katika mazingira ya aina gani, imetufanya baadhi yetu tunao fatilia harakati zake za kisiasa tuwe na mashaka; kwa hiyo tunaomba walio karibu nae watu habarishe ili tuweze kupumua.
   
 2. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,741
  Likes Received: 6,017
  Trophy Points: 280
  First Class Gamba.
   
 3. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wanakufa watu wema, wanasalia watu waovu. Mungu wa ajabu sana!
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Umri umesogea sana. Akisikia matangazo ya Vifo redioni mifupa huwa inamcheza sijui kwanini!!!
   
 5. A

  Andras Mahenge Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 22, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha mzaha muacheni aishi mpaka Mungu atakapoamua.Huwezi jua Mungu anamtakia kipi...!
   
 6. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Kastaafishwa kwa manufaa ya umma.
   
 7. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  ........usihukumu.....
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Huyu mzee alikuwa mwadilifu sana lakini baada ya kujitumbukiza kwenye ufisadi sifa na heshima yake ikaporomoka kwa kasi.
   
Loading...