Sina Panga, Bunduki wala rungu ila nina KADI ya kupiga KURA 2015

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Ni muda muafaka kwa mtaka mabadiliko kuwa sehemu ya mabadiliko!hatuhitaji mapanga,mikuki,bunduki au silaha yoyote kuiondoa/kupigana na ccm kwani ccm sio kitu bali watu.tukipigana na ccm ni kuwapiga watz wenzetu na kuhatarisha amani tuliyo nayo.inawezekana aliye ndani ya ccm hajitambui bado!haijui ccm ilivyo hivyo inapaswa aelimishwe!pia inawezekana aliye ccm anaifahamu kwa jinsi anavoi2mia kuwanyonya watz wenzake!huyu haitaji kuelimishwa bali kuondolewa!namna pekee ya kumwondoa huyu ni kuhakikisha;
1.Kufikia 2015 una kadi ya kupigia kura
2.unaelimisha watz wenzako kadiri uwezavyo juu ya udhalimu na unyonyaji wa ccm
CCM imeharibu maisha(future) ya watu wengi xana!naapa kuiangamiza ccm kwa kura yangu
 
Unaenda kupoteza kura yako tu, rais wa 2015 taya anajulikana, ananoa meno kuja kula bata.
 
Good preparation, keep up! May our Almighty God bless you and keep you safe till 2015.
 
baada ya kupiga kura yakupasa kulinda kura yako bila panga,rungu au bastola.
 
Unajua kitu CHAKACHUA wewe? Kura zenu shimoni tu, au hatujakuhesabu? We think ahead! Nyie wazeni maandamano tu.
 
Mi ninachokila kitu ambacho policcm wanacho, nikipoga kula nakaa mita100 toka kituo cha kura, ikitangazwa mwendo mdundo halmashauri kusubiri dk slaa na mbunge halisi atangazwe mshindi,. Ole wenu policcm mje kichwakichwa kunitawa na maji washa yenu mtajuta.
 
Mtaiba kura ngapi?maana kati ya watu takribani 300000000 watakaojiandikisha wa ccm wakiongezeka labda watafika milion 8.mtawezaiba milion 32?
 
By the time uchaguzi unafika 2015, ccm watakuwa wamechafuka na kuchanganyikiwa kaisi cha kuogopa hata kuiba kura achilia mbali mziki kama wa arumeru na igunga ukipiga nchi Nzima.
 
Back
Top Bottom