KAMA MMOJA WETU ANAWEZA KUMHUJUMU MWEZAKE NAMNA HII NINI MAANA YA UMOHA HUU,NINI FAIDA YAKE KAMA SI KUAMBUZANA MATATIZO.
Muungano wa Ulaya umeamua kusitisha msaada kwa Rwanda.Uamuzi wa Muungano...
Wanabodi,
Kwanza nachukua nafasi kumpongeza diwani wangu mh. Jerry Slaa kwa kutekeleza moja ya ahadi zake za kuwapunguzia shida ya maji wakazi wa Gong la mboto; hii itasaidia kuwapunguzia adha...
Ndiyo tumetoka hapa DTV kuelelekea Jangwani...
UPDATE ndiyo sasa tunaindia Jangwani...Waziri wa mambo ya ndani, E. Nchimbi
=============
UPDATES
=============
Waziri wa mambo ya ndani E...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KATIKA kusimamia uongozi unaozingatia misingi muhimu ya haki za binadamu, sheria na utawala bora, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesisitiza msimamo...
KATIKA kile kinachoonekana kama vita ya urais wa mwaka 2015, makundi yanayokinzana ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), yamedaiwa kuanza mkakati wa kujiimarisha kwa kutumia uchaguzi wa ndani...
Judge...........Mwenyekiti
Theophile Makunga-Tanzania Editors Forum (TEF)
Pili Mtambalike-MCT
Jeshi la Polisi
Mtaalamu wa Mabomu
ameipa mwezi mmoja ilete taarifa, anasema kuna maswali mengi...
WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA CCM NEC>>>2007-2012 WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Halmashauri Kuu...
Barabara za Arusha nasikia zimejengwa/Zinajengwa na Serikali ya CCM kwa kushirikiana na wapenzi wa CCM!
Enyi CHADEMA Arusha kuna nini kinachopelekea watu kukosa Imani kwa Chama Cha Matatizo na...
Vigogo kadhaa wakiwamo wabunge wameenguliwa katika mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Majina ya vigogo hao yaliondolewa na Kamati ya Maadili iliyoketi mjini hapa kwa siku...
25 September 2012
For ref: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/323454-nimrod-mkono-aitisha-ccm.html
KAMATI ya Usalama na Maadili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imerudisha jina la Mbunge...
Wandugu tujadili bila jazba ili kuweka maana halisi ya kufa kwa chama cha siasa.
Kwa nionavyomie chama cha siasa kinakufa pale kinapokiuka misingi yake, kukosa support ya mwananchi na...
BBC swahili wanarusha mahojiano kuhusu sekta ya mafuta na gesi. Yupo Zitto na Prof Muhongo.
Follow the discussion:
Waziri anasema mapato Tz tunapata kutoka rabaha, 3% and now 4%, corporate taxi...
Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Freeman A. Mbowe katika uzinduzi wa chama
WAHESHIMIWA viongozi wezangu, leo Agosti 13 mwaka 2006, tunatimiza mwaka mmoja kamili tangu...
Hapana shaka sasa Israeli wa mageuzi Tanzania sasa ameikamata roho ya CHADEMA. Hii ni wazi kabisa CHADEMA inaelekea kwenye foleni ya NCCR mageuzi, TLP na CUF.
Ngoma ikilia saana upasuka...
Adaiwa kuwa bilionea kwa mgongo wa Ikulu
Na Mwandishi wetu - Tanzania Daima.
RAIS Jakaya Kikwete anakabiliwa na kashfa nzito kutokana na utajiri wa mtoto wake, Ridhiwani...
Juzi niliweka bandiko hapa juu ya mapigano kati ya wamasai na waarusha ugomvi ambao mpaka sasa unaendelea POLISI NA FFU wameshindwa kuwaamulia na sasa JWTZ wameingilia kati na mafanikio...
Lema akiunguruma muda huu kiwanja kipya maeneo ya Kilombero Jijini Arusha baada ya kushindwa kufanya hivyo wiki iliyopita pale NMC palipogeuzwa eneo la biashara ya machinga!! Lema bado yuko...
Bila Kamanda Kamuhanda kusimamishwa kazi na kuunganishwa katika kesi ya mauaji ya Daud Mwangosi hatua yoyote dhidi ya askari waliokuwa chini yake itakuwa ni ya uonevu. Na yeye apandishwe kizimbani...
Mwaka 2005 nilimshabikia sana JK hadi nikaona nchi mpya imezaliwa ila sikuwa na sababu za msingi maana alikuwa hana record yeyote ya kufanya mambo makubwa kwa nchi. Ilikuwa sio mimi tu maana wengi...
ATAKA IJIHOJI IJE NA MAJIBU, AELEZA ATHARI ZAKE, NAIBU WAZIRI ATAKA IPEWE MUDA ZAIDI KUCHUNGUZA TATIZO
Elias Msuya
WAKATI utata ukiendelea kugubika usambazwaji wa dawa bandia za kupunguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.