Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtego wa Noti, Sep 19, 2012.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,230
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  BBC swahili wanarusha mahojiano kuhusu sekta ya mafuta na gesi. Yupo Zitto na Prof Muhongo.

  Follow the discussion:

  Waziri anasema mapato Tz tunapata kutoka rabaha, 3% and now 4%, corporate taxi, 30%, anasema makampuni yote yameanza kulipa.
  anasemakuna kampuni zimechimba madini zaidi ya miaka 7, walikuwa wanapewa miaka 5 ili kurudisha gharama zao, ila wengi ikifika mitano walikuwa wanasema hawapati faida hivyo kuomba kuongezewa siku.
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,230
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Mtangazaji anasema pato wanalopata kama nchi haliendani na hali ya watz, yaani watz hawanufaiki na madini yao.
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wanajadili juu ya mikataba ya rasilimali za asili kama madini, gesi asilia na mafuta.
   
 4. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,230
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Zitto anaulizwa kuhusu mikataba, namna ya kuifanya iwanufaishe wananchi.

  Anasema mikataba mingi inawafanya wawekezaji ndio wapate faida kuliko wananchi kwa nnchi za africa, anasema 2007, walipitia mikataba yote ya madini na mapendekezo yake ndio yalifanya kurekebisha sera ya madini n sheria ya madini.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,834
  Trophy Points: 280
  Namsikia anafunguka
   
 6. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,230
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Zitto anaulizwa, je wamebadilisha mikataba ya madini ambayo haiwanufaishi watz?

  Anasema wamebadiisha sheria ili angalau mikataba mipya iwe na manufaa kwa watz
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hapo ni Uzalendo vs Ulaghai katika rasilmali za taifa.
   
 8. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Jaman ni mjadala mzuri sana wanachambua suala la mikataba ya madini na gasi,tuwasikilize
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wakimaliza uta summarize wengine hatupo home na hatuna axex na radio.
   
 10. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,230
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Zitto anaulizwa, kuna mkataba uliorekebishwa? Anasema hakuna hata mmoja.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu huwezi kuwa Yeriko Nyerere kwenye kesi ya Mnyika? Updates ni muhimu.
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu Mtego pamoja na Kamanda Mwita, endeleeni kutuhabarisha zaidi.

   
 13. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sasa ni Mchumi toka Nairobi, nae anakiri kuna shida kubwa katika hili, kwani mpangilio wa kuinua wachimbaji wadogowadogo ili wainuke na kuleta mitambo ni ngumu kutambuliwa na mabank!
   
 14. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,230
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  muhongo anasema tatizo la mikataba ni elimu kwa wanaoingia mikataba
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mahasimu wawili.

  Tupe basi samare ya kila alichoongea kati ya hao.
   
 16. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,230
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  mkenya anazungumzia kwamba hatuna elimu ila unajua kiingereza tu ambacho hakitusaidii kupata kazi za kitaalam ktk makampuni ya madini., hatuna teknolojia.
   
 17. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pia huyu mchumi wa Kenya anasema Waafrika hatuna elimu inayotusaidia kuchimba madini na kuleta utajiri, bali tuna elimu ya kuajiriwa katika makampuni ya nje!
   
 18. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,230
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Mchimbaji kutoka Iringa, anaulizwa unanufaikaje na madini?

  Anajibu, kuna mapungufu matatu wachimbaji wakubwa ndio wanaonufaika na haya madini na serikali inawalinda, kwa sisi wana apolo, tunachiba bila mkataba na bila mshahara.

  Anasema wachimbaji wadogo ndio wanaotambua maeneo yenye madini, mfano waligundua madini kule mpwapwa....amekatizwa na mtangazaji...
   
 19. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kipindi hiki cha BBC tatizo ni muda unakuwa mdogo sana!
   
 20. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,230
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  muhongo anaulizwa.seikali wanadhibije ili kujua na kupata haki ambayo wanatahili kupata?
  anasema serikali imejitah maana wanafatiliwa huk mgodini jinsi wanavyochimba, kuna wakala ambao wanafatilia kila kitu. toka wakala uanze, mapato yameongezeka. kwa sheria madini hayatoki nje bila kibali cha serikali, ndio maana juzi mmoja amekamatwa kipeleka madini nje. tunajitahidi ingawa wengine wanaiba.
  wachimbaji wadogo ndio wanaiba zaidi maana hata kodi hawalipi na hawatunzi takwimu na hawafati sheria.
   
Loading...