Nipeni ufafanuzi wa Upendo wenu kwa Lema

Emashilla

Senior Member
May 24, 2012
138
26
Lema .jpeg
Barabara za Arusha nasikia zimejengwa/Zinajengwa na Serikali ya CCM kwa kushirikiana na wapenzi wa CCM!

Enyi CHADEMA Arusha kuna nini kinachopelekea watu kukosa Imani kwa Chama Cha Matatizo na kuamua kumpenda Lema?

Tafadhali, nijulisheni aliyoyafanya Lema hapa Arusha na nchini Tanzania.
 
Naona kama CCM wameanza harakati za kulikomboa jimbo
narudisha kadi.JPG
Nimesikia kuwa huko Meru Masharik,Tanzania hamuutaki Mwenge wa Uhuru.Hamna tatizo!
MWENGE.jpeg
Tuache hayo, mnijibu swali hili: JN.jpeg Mbunge wenu amewafanyia nini tangu alipoingia bungeni Aprili 2012?

Naomba mnipe habari!
 
Wanachadema wanakuwa wakali wanapoulizwa maswali critical kama haya, ila naomba watumie hii fursa vizuri ili waweze kuvutia watanzania ambao bado hawajawa na msimamo wa kiitikadi.

Ila vilevile wananchi nao wapate fursa ya kuona, kuchambua na mwisho kufanya maamuzi juu ya nafasi nyeti na yenye heshima hapa nchini walizopewa wapinzani, nafasi ya uwakilishi wa wananchi katika bunge tukufu la jamhuri ya muungano wa tanzania.

Tupunguze ushabiki katika kuorodhesha mambo aliyofanya mbunge huyu tangu wana-arumeru mashariki walipompa ridhaa.
 
Na umasikini wa Wana-Arusha walio wengi umesababishwa na sera mbovu za CCM. Na wizi wa rasilimali za Arusha na Tanzania kwa ujumla unasababishwa na sera mbovu za Serikali ya CCM... Alichofanya Lema na anachoendelea kukifanya ni kushiriki harakati za kuikomboa Tanzania na watanzania dhidi ya mfumo dhalimu wa CCM.
 
Kibajaji a.k.a Lusinde wa Mtera amekufanyia nini tangu umchague kuwa mbunge nambari wani wa matusi? J Nassari siku ya kwanza alichimba visima kadhaa! Je, unalo jipya?
 
Mwe macho haambiwi tazama! Huwezi mwelekeza kipofu rangi tofauti tofauti zilizoko mbele yake! Acha wivu.
 
Kabla ya kutaka kujua mbunge wetu katufanyia nini wewe jiulize balozi wako,diwani wako,mbunge wako,waziri wa sekta yako,na rais wako wamekufanyia nini kisha jiulize umeifanyia nini jamii yako na nchi yako.kama hujui mambo yanayokuzunguka usipende kujua ya mbali
 
Mbunge wenu amewafanyia nini tangu alipoingia bungeni Aprili 2012? Naomba mnipe habari!

Tupunguze ushabiki katika kuorodhesha mambo aliyofanya mbunge huyu tangu wana-arumeru mashariki walipompa ridhaa.
Kulingana na katiba, Bunge ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na madaraka, kwa niaba ya wananchi, kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Katiba hii.

Napita tu...
 
kazi ya mbunge ni kuwawakilisha wananchi.kwahiyo mpaka sasa kawawa kilisha wananchi ndani ya bunge kwa kuonyesha hisia zake kwa kutoka nje ya bunge alipoona mipango iliyowasilishwa kipindi cha budget haitekelezeki.
 
Naona umeshahamia huku baada ya kupewa majibu muruwa kwenye ile thread ya Nassari. Umetumwa na nani?
 
Naona kama CCM wameanza harakati za kulikomboa jimbo
View attachment 65589
Nimesikia kuwa huko Meru Masharik,Tanzania hamuutaki Mwenge wa Uhuru.Hamna tatizo!
View attachment 65602
Tuache hayo, mnijibu swali hili: View attachment 65595 Mbunge wenu amewafanyia nini tangu alipoingia bungeni Aprili 2012?

Naomba mnipe habari!


Yaani hata MWAKA haujapita tangu ASHINDE Mmesha anza kuulizia AMEFANYA NINI? Zaidi ya serikali ya CCM kuuza ARDHI za

Wananchi huko? Sasa kwani MARY NAGU amewafanyia nini hao WANANCHI wa JIMBO LAKE?

Afadhali huyu kijana Atasema AMELIKOMBOA HILO JIMBO kutoka kwa Makucha ya WALAFI wa MALI za Watanganyika; UFISADI

na UBWANYENYE...
 
Mleta thrid tuambie mbunge wako Zuberi Mtemvu hapo temeke aliwahi kumsikia karibuni akicheza na MIC ya spika? Ama anaendeleza usingizi pale ktk sufi la bunge.
 
Back
Top Bottom