Maandamano ya wanahabari Sept 11, 2012

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
Ndiyo tumetoka hapa DTV kuelelekea Jangwani...

UPDATE ndiyo sasa tunaindia Jangwani...Waziri wa mambo ya ndani, E. Nchimbi

=============
UPDATES
=============
Waziri wa mambo ya ndani E. Nchimbi amefika Jangwani kuongea na waandishi wa habari walioandamana kwa ajili ya kifo cha Mwangosi lakini amezomewa vibaya, na walipoulizwa waandishi ni wangapi wanataka awahutubie wote wamemkataa, ikabidi aondoke kwa aibu kubwa.

Nchimbi kafukuzwa kwa aibu na waandishi wahabari wanasema yeye kaja kuwapokea kama nani wakati hawajamwalika
- yeye amegoma kuondoka, sasa hapa fujo tu angalieni channel 10 laivu

Mabango yaanasema
"camera ya mwangosi ipo wapi"
"kamuhanda ni muuaji, kaua songea kaua iringa"

Nchimbia anaondoka.. Anawabeza kutokana na walivyomzomea laivu channel 10

Huko mara waandishi wamekataliwa hata kutoka nje kwenye jengo la press club yao mkuu wa polisi amewaonya ajaribu hata kupiga picha source channel 10
Naskia baadhi ya mikoa yamepigwa marufuku

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php


Huyu hapa wakati anaingia uwanjani

Hapa akiwa tayari katimuliwa anaondoka kwa aibu kichwa chini

427870_413390608723016_1858638376_n.jpg
 

Attachments

  • sep11-2012-1.jpg
    sep11-2012-1.jpg
    33.3 KB · Views: 10,632
  • sep11-2012-2.jpg
    sep11-2012-2.jpg
    38.8 KB · Views: 9,612
  • sep11-2012-3.jpg
    sep11-2012-3.jpg
    50.7 KB · Views: 9,488
  • sep11-2012-4.jpg
    sep11-2012-4.jpg
    74 KB · Views: 9,408
  • sep11-2012-5.jpg
    sep11-2012-5.jpg
    58.3 KB · Views: 9,336
Tunaomba mwenye access na maandamano ya wanahabari yanayoendelea hivi sasa jijini Dar-es-Salaam watupe updates.
 
Goodluck guys...japokua najua serikali yetu hii sio sikivu bt at least your voices would be heard
 
Edelea kutujuza, mna mabango? tupe nukuu za hayo mabango km yapo.
 
Wengi wamejiziba midomo na wengine macho na maigizo ya tukio lenyewe lilivyotokea wameonyesha
 
Mbona mmetembe km chache sana DTV na Jangwani Hata km 5 hazifiki,mmeshindwa hata na yule jamaa wa mafinga aliyetembea km56? @lst mngetembea hadi viwanja vya chuo kikuu mkafanye mkutano ili ujumbe ufike kwa wengi.
 
Tunaomba mwenye access na maandamano ya wanahabari yanayoendelea hivisasa jijini Dar-es-Salaam watupe updates.

Kwa mujibu wa Clouds FM jana ni kuwa waandishi wa habari wamezuiwa kuhitimisha maandamano yao viwanja vya Mnazi Mmoja kwa kuwa Halmashauri ya Ilala watakuwa wanafanya shughuli zao hapo!

Hii ndiyo Bongo bwana kuhakikisha kuwa maandamano haya yanadhoofishwa!
 
Waziri wa habari amefika Jangwani kuongea na waandishi wa habari walioandamana kwa ajili ya kifo cha Mwangosi lakini amezomewa vibaya, na walipoulizwa waandishi ni wangapi wanataka awahutubie wote wamemkataa, ikabidi aondoke kwa aibu kubwa.
 
I wish ningekuwepo...all the best wakuu tuko pamoja, hii ndio mbinu pekee ya kufanya iliyobaki
 
Tupatieni picha basi waandishi ili tuone mnavyofikisha ujumbe si mnajua tunawategemea
 
waziri nchimbi kakataliwa na wandishi wa habari leo jangwani na kuondoka
 
Back
Top Bottom