mkutano wa Chadema Arusha

Status
Not open for further replies.

mpalu

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,521
870
Lema akiunguruma muda huu kiwanja kipya maeneo ya Kilombero Jijini Arusha baada ya kushindwa kufanya hivyo wiki iliyopita pale NMC palipogeuzwa eneo la biashara ya machinga!! Lema bado yuko jukwaani muda huu


 
mkuu kumbuka ma RC WOTE ni ccm hawana kazi nzito ya kusumbua kichwa ,hivyo wanapopata kazi ya kusisimua bongo zao huamka na kujikuta wanasahau wapo kwa kazi za kitaifa na sio kuhangaika na vyama ,hili ni tatizo kwa wananchi wanabeba jukumu kubwa la kulipia mishahara ,magari makubwa ,ofisi kubwa ,posho nono..hili ni tatizo .tuliangalie kupitia katiba mpya umuhimu wa ofisi hizi R.C NA D C
 
Lema amesema kuwa uwanja wa kilombero ni wa machinga, na ule wa nmc kupewa machinga wameingizwa chaka!

Anasema serikali watuonyeshe uwanja wa wazi kwa wana Arusha!

Nmc hakuna choo, hakuna social facilities, yaani ni kama wamewa dump.

Mvua ikinyesha nmc hakufai, machinga wote warudi mjini!
 
Tarehe mbili mwezi wa kumi tutakuwa mahakamani, watakuwepo makamanda wa chama akina lissu, mbowe na dr.
 
Ni bahati mbaya sana sitaweza kuwahi mkutano. Tunaomba makamanda mliopo mtupiamo na picha!
 
Giving sasa Lema anasema siku akisaliti harakati za ukombozi Mungu achukue roho yake
 
Lema akiunguruma muda huu kiwanja kipya maeneo ya Kilombero Jijini Arusha baada ya kushindwa kufanya hivyo wiki iliyopita pale NMC palipogeuzwa eneo la biashara ya machinga!! Lema bado yuko jukwaani muda huu



M4C with no Apology.CCM B mpooo?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom