Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hapa ndipo unapoona watendaji wa chini wanapokuwa na dharau kwa uongozi wa serikali ya JK Naibu waziri wa JK atunishiwa msuli na Mratibu wa Kata Atunishiwa msuli na Mratibu Elimu Kata *Ni baada...
0 Reactions
74 Replies
9K Views
Mambo ambayo hayafai katika Katiba ya Nchi Kuna vikundi mbalimbali vimejitokeza nchini vinavyowashawishi wananchi kutoa Maoni yao kulingana na Maslahi yao Binafsi. Vikundi hivyo vinawashawish...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
tukiwa bado tupo kwenye nngwe nyingine ya chaguzi za nafasi mbalimbali ndani ya chama cha mapinduzi tunashuhudia bado makundi ni janga na labda chanzo cha mkanganyiko unaokiwehusha chama hichi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu, KUNA tunaokumbuka kisa cha mfalme simba na wanyama wenzake. Mfalme simba alipatwa na ugonjwa. Akabaki kibandani asiweze kutembea. Na njaa nayo ikamshika. Wanyama wengi...
6 Reactions
23 Replies
9K Views
Written by Elbattawi // 23/09/2012 // Habari // 9 Comments KATIBU Mkuu wa Chama cha wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuna baadhi ya viongozi ndani ya Zanzibar...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nchi ikiwa masikini kila mtu atashikwa uchawi.............Mtashikana uchawi wa Ukabila, Dini, Kanda, Jinsia, Kuna wengine watamshambulia Bashe kwa mujibu wa rangi au wajihi wake kana kwamba wao...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
JUMAPILI, SEPTEMBA 23, 2012 10:38 NA MWANDISHI WETU, KAHAMA *Kauli zake zadaiwa kuichimbia ‘kaburi' CCM *Mgeja adai amekuwa kama mbogo aliyejeruhiwa *Nalaila Kiula aibuka, aonya kugawana...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amelaani kitendo cha vyombo vya dola kuwapiga na kuwakamata wafuasi wa Cuf Katibu Mkuu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tokea amechaguliwa 2010 sijawahi kumuona Huku Mbagala kuja kusikiliza Kero za wapiga kura wake Kama wanavyofanya wakina Mdee na Mnyika kwenye majimbo Yao yeye kutwa ni kufungua Album za miziki ya...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Wagombea ujumbe we NEC kupitia wilaya ya Nzega Bw. Hussein Bashe na Dk. Hamis Kigwangala wamerejeshwa kuombea nafasi hiyo na Kamati Kuu baada ya Awali Taarifa kuelezea kuwa Secretarieti ya CCM...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
na Waandishi wetu CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakitishwi na baadhi ya viongozi wake ambao wamekuwa wakitoa kauli zao barabarani kwa ajili ya kulalamika na kukikosoa chama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa, vimetoa taarifa ya kufungwa jela, kwa miaka 15, kwa aliyekuwa mkuu wa polisi, wa jimbo la Chongquing, nchini China, Kwa makosa kadhaa, likiwemo la...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda (kushoto), Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa, Waziri wa Kilimo Profesa Jumanne Maghembe na Waziri wa Masuala ya Afrika...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Zuberi Kabwe, amesema kuwa hana nia ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama chake katika Uchaguzi wa ndani wa...
9 Reactions
237 Replies
23K Views
Leo asubuhi ktk kipindi cha Nipashe cha Radio 1 Stereo Tendwa alionekana akiwabembeleza CDM wakutane naye, akitoa haja kwamba ule mkutano wa juzi kati yake na vyama hauhusiani kabisa na madai yao...
6 Reactions
72 Replies
7K Views
Katika Kipindi cha Tuongee Magazeti cha Star TV Alfajiri hii kuna habari ya Makada wa CDM katika Wilaya ya Ilemela kutwangana makonde wakati wakiwa kwenye kikao cha kamati ya utendaji ya wilaya...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Baraza la Maadili la Kiislamu Tanzania (Bamakita) limeunga mkono kauli ya Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, ya kuwataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwang’oa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Yetu. MBUNGE wa Jimbo la Kasulu Mjini Moses Machali amewataka viongozi watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wawajibishwe kwa kufikishwa mahakani, kwa kitendo cha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanajf samahanini sana naomba kujuzwa hivi hili jimbo la Kongwa lina mbunge au kivuli. maana tangu 2010 kushinda hajawahi kuwa na mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Tanganyika na Zanzibar zinapashwa kuwa na katiba zao, na iundwe serikali ya muungano (Federal State). Mamlaka ya Raisi yapunguzwe. Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu, Mkuu wa Polisi na wakuu wa tarisi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom