Picha: Timu ya wajumbe wa halmashauri kuu ya taifa CCM, NEC - 2007-2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Timu ya wajumbe wa halmashauri kuu ya taifa CCM, NEC - 2007-2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Sep 25, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA CCM NEC>>>2007-2012 WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA

  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, kabla ya kikao cha NEC, leo mjini Dodoma. Wengine, waliokaa. Kutoka kushoto ni Mawaziri Wakuu wa zamani, John Malecela na Cleopa Msuya, Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Pius Msekwa, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Sheni, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi na Kulia ni Mawaziri wakuu wa zamani Frederick Sumaye na Edward Lowassa.
  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wana-CCM, alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) mjini Dodoma leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishiriki kucheza wimbo wa hamasa ya Chama, alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) mjini Dodoma leo.
  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa CCM, WisoMakamu (kushoto) baada ya kupiga picha ya pamoja na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo, kwenye viwanja vya Ofisi ya Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma. Wengine Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa, Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Yussuf Makamba na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni.
  [​IMG]
  Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akishauriana jambo na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, ukumbini kabla ya kuanza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma leo.


  [​IMG]
  Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Samwel Sitta akimsalimia kwa unyenyekevu Mjumbe mwenzake, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, nje ya ukumbi, kabla ya kikao cha NEC mjini Dodoma leo.
  [​IMG]
  Mjumbe wa NEC, Frederick Sumaye akimweleza jambo Mjumbe wa NEC mwenzake Kingune Ngombale-Mwilu, baada ya kukutana nje ya ukumbi, kabla ya kikao cha NEC mjini Dodoma leo.
  [​IMG]
  Baadhi ya wajumbe wa NEC wakiwa ukumbini kwenye kikao cha NEC mjini Dodoma leo
  [​IMG]
  Ahhh! kweli? hapa ni Mjumbe wa NEC, Shamsi Vuai Nahodha alizungumza jambo na Mjumbe mwenzake Cleopa Msuya ukumbini.
  [​IMG]


  [​IMG]

  Baadhi ya wajumbe wa NEC wakiwa ukumbini kwenye kikao cha NEC mjini Dodoma leo (picha zote na Bashir Nkoromo)​  [​IMG]


  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Wangapi Wapenda UJAMAA na KUJITEGEMEA ?

  Na Wangapi Wanatukuza JEMBE na NYUNDO ? na Kina nani Waupenda MUUNGANO ?
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Tija kwa taifa?
  Alaf walipewa posho!
   
 4. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Hao wemye kaki ni CHADEMA walikaribishwa nini
   
 5. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Think tankers.good
   
 6. M

  Mundu JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mkapa na Karume sio members humo?
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  HAwa ndo janga la taifa hili (among others)
   
 8. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  wanapaswa kuwa wanaalikwa kujifunza waache kuchapana makonde kama juzi ilemela
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ivi kuna cha kujivunia kwenye iyo team kwenye ie i mean mwananchi wa kawaida kule Dumira,kibaigwa,tunduru,Kyaka.Namanyere etc ?
  Nazani wao kama wao watajivunia ulaji walioupata na si kwa kuwatumikia wananchimkwa Dhati kabisa
   
 10. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,084
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  afadhali mheshimiwa 6 sikuoni, tunza heshima yako
   
 11. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,864
  Trophy Points: 280
  Hapo ni baada ya kutemwa ukatibu Mkuu. Huoni jinsi alivyo nuna na kumwangalia Mukama jicho pembe? zamani angekuwa amepewa kiti. Cheo bwana! ndio maana wanatoleana bastola hawa CCM
   
 12. N

  Nyakipambo JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hawa ndio cancer ya Tz
   
 13. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Mnafiki yupo kwenye kona ya juu mkono wako wa kulia
   
 14. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  wavivu utawajua tu. wamekunja miguu
   
 15. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Dah,yani sioni hata mwenye uchungu na nchi hii,sura ni zilezile za miaka nenda rudi bado wanafikiria tanzania ni ileile kila siku,wanafiliria namna ya kugawa ubwabwa 2015
   
 16. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Washasanuka naona wanaanza kupiga picha za ukumbusho!
   
 17. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #17
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bora hawa wanachapana makonde kuliko wale wa nzega wanatoleana bastola!
   
 18. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ndiyo maana chadema wanauchukia sana mwenge kumbe upo kwenye kadi ya hawa vijana
   
 19. gimmy's

  gimmy's JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 2,361
  Likes Received: 1,144
  Trophy Points: 280
  wewe njaa(CDM) hujapata sehemu ya kula bora unyamaze kwani ukiipata CCM watakua na nafuu
   
 20. gimmy's

  gimmy's JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 2,361
  Likes Received: 1,144
  Trophy Points: 280
  wakumtumikia mwananchi upinzani hakuna hamja pata sehem ya kula nyinyi mkiipata wananchi watakoma kwani mapema kabisa mnaonekana nyinyi njaa kali
   
Loading...