Chadema wasiwasi wa nini?? Hata kufungua matawi mpaka muite wahandishi wa habari???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wasiwasi wa nini?? Hata kufungua matawi mpaka muite wahandishi wa habari????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmwaisoba, Sep 24, 2012.

 1. m

  mmwaisoba JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapana shaka sasa Israeli wa mageuzi Tanzania sasa ameikamata roho ya CHADEMA. Hii ni wazi kabisa CHADEMA inaelekea kwenye foleni ya NCCR mageuzi, TLP na CUF.

  Ngoma ikilia saana upasuka. Haiingii akilini nguvu kuubwa inayotumika kutangaza shughuli za kufungua vishina ni yanini??

  Ni wasiwasi kuwa CHADEMA is a minor issue kwa watanzania. Ni lazima wawe kwenye magazeti kila siku vinginevyo itasahaulika. Jumapili ya jana ndo ilikuwa huruma ya mwaka. Mnyika ametembelea ubungo kufungua matawi. Amepata watu wachache kiasi kwamba hakuna gazeti hata moja na wala wale mavuvuzela wa jamii forum hawakuweka picha zake.

  Eti sasa wanachukua vipicha vya upareni ambavyo navyo ni miti tuu na wazee kama kumi hivi. Poleni wana CHADEMA hata Mrema aliondoka hivyo hivyoo.

  Kidumu chama cha mapinduzi.
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,067
  Likes Received: 10,426
  Trophy Points: 280
  Kunywa gongo na kuchanganya na banana ni hatari sana...
   
 3. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu almasiomary..
  1. Ni waandishi na si "wahandishi"
  2. Halafu what is a relationship kati ya thread na its contents?!!..maana umejiuliza na kujijibu mwenyewe!!

  Yaani kusema kuwa ni "kero" kwa wao(CHADEMA) kuwa kwenye Frontpage kila leo, sasa hawajatokea tena kwenye frontpage bado unalalamika nini mkuu?
   
 4. m

  mmwaisoba JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi sasa namsikia Mzee Malecela anasema CCM hawaingoi ngooo hizo ni kelele za chura. Jana kweli Mnyika ameonja joto ya jiwe. Kaja kule kimara eti kufungua matawi. Hakupata hata waatu 30 na matokeo yake aliondoka kichwa chini. Watu wengi wameapa kuwa watamshikisha adabu wakati wa uchaguzi mkuu. Huyu ni mbunge wa Tanzania siyo wa ubungo. Anajifanya yeye ni kama rais kuzungumzia kila jambo hata kama halina maslahi kwa wana Ubungo
   
 5. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu mmwaisoba,nadhani hapo utakuwa unakosea..though ni mbunge wenu haimaanishi asichangie jamvo lenye maslahi kwa taifa( hata kama halitawagusa moja kwa moja wana Ubungo, mkuu...
   
 6. p

  politiki JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  kama watu hakuna sasa siufurahi hasira za nini ??? wala haikuwa covered kwy jamii forums which in actual fact you have
  unknowly done for them hasira za mkizi hizo.
   
 7. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,697
  Likes Received: 7,955
  Trophy Points: 280
  Unajifariji eeh, kweli tumbo na mdomo ni mtaji tosha kwa siasa za CCM
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Gongo za usiku mbaya sana
   
 9. Ulenje

  Ulenje Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  Malecela anadhani siasa ya NYERERE ndio ya sasa. Kumbuka enzi za nccl mageuzi ni enzi za Mkapa generation pindi darasa la saba bado linaheshimika. Bt now educated we are many. Best character of educated man and women iz DEMANDING OF CHANGES
   
 10. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Akili ya maiti hiyo!
   
 11. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145  CCM ina RADIO, TV na NGUVU za DOLA; Kwanini CHADEMA isiite Waandishi kwenye UFUNGUZI wa Tawi

  Wakati CCM - Wakipeana Uwanaharakati Wanaita TV na MAGAZETI ? Nape akikohoa Ofisini

  Kila mtu anakwenda hadi wenye GLOG's

  Rais kamuita DIAMOND IKULU TV, MAGAZETI, BLOG's walihudhuria ni NINI anaalikwa kutumbuiza Marekani!!!
   
 12. MWANAMTAA

  MWANAMTAA Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dahhh watu kama hawa wenye hoja mufilisi na nyepesi ndio wanao ipatia cdm umaarufuu jipange ndugu wakati mwingine uje na hoja zenye mashiko......................
   
 13. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,685
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 14. Elba

  Elba JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 383
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Chadema wasiwasi wa nini?? Hata kufungua matawi mpaka muite wahandishi wa habari????

  Nisaidieni maana ya hilo neno kwenye red....
   
 15. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  karibu sana JF mkuu...........
   
 16. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,763
  Trophy Points: 280
  Duh, samahani kwa usumbufu, una miaka mingapi????


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 17. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kuwa shabiki uliyekomaa wa CCM hakika yakupasa uwe na akili ya MAITI. Hivi waandishi wa habari kuifuata chadema inapofungua matawi na kuandika habari wewe wakerekwa na nini?? Na bado utaendelea kusikia 1500 shinyanga magamba wajiunga na CDM, 2400 mtwara magamba wajiunga CDM, 1950 Handeni wavua magamba na kuvaa magwanda. Endelea kuwa na Fikira za ZIDUMU FIKIRA SAHIHI ZA MWENYEKITI WA CCM. Malecela amechakaa, kaisha mwili, akili na roho inatapatapa, wacha abwabwaje.
   
 18. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,734
  Trophy Points: 280
  Naona mtoa maada ameamua kujichanganya!
   
 19. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  hakika magamba mtajinyea mwaka huu,naona mnatekeleza maagizo ya nepi kwa nguvu zote kuleta uzushi,kwa taarifa yenu hii ni rasharasha ya jimboni kwa kamanda mnyika akifanya mambo..... Photo0417.jpg
   
 20. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hawa nao ni watu kumi???? Photo0265.jpg
   
Loading...