Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Palikuwa na habari ambayo iliwekwa hapa kama tetesi, lakini habari hizi ninapenda kuwafahamisha wadau kuwa aliyefariki ni kaka yake mbunge Zaituni Buyogera mbunge wa Kasulu Vijijini (NCCR)...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
08 October 2012 | Mwananchi SERIKALI imeipongeza Kampuni ya African Barrick Gold (ABG) kwa kuleta manufaa makubwa kwa taifa kutokana na uwekezaji unaoendelea kufanywa na migodi yake nchini katika...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
KAMANDA wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Christopher Gachuma, amewataka vijana wa chama hicho, kuwa kama ‘wendawazimu' ifikapo mwaka 2015. Akifafanua kauli...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Mbowe: Wananchi lazima wanufaike na Mlima K’njaro MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema Mlima Kilimanjaro hauna budi kuwaletea manufaa wananchi...
0 Reactions
93 Replies
9K Views
Hamna cha maana alicho ongea kwaajili ya wana nchi wa kata ya mpwapwa mjini . Ana waeleza tu maana ya rangi ya kijani na lugha za kejeli kwa chadema huyu si mwingine ni kibajaji wana muita
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawapongeza Wabunge wote, wawe wa kuchaguliwa/ kuteuliwa kwa kazi yao nzuri waifanyayo wawapo bungeni. Hivi ni kweli hakuna majukumu mengine yawahusuyo wabunge wetu nje ya Bunge hususani ya...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Serikali imetakiwa kumdhibiti na kumuondoa, kisha kuibomoa nyumba ya Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mchungaji Getrude Lwakatare. Rai hiyo imetolewa na Waziri Kivuli, Wizara ya Ardhi, Nyumba na...
9 Reactions
94 Replies
17K Views
Huyu jaji alitajwa na Lissu kuwa hajui kuandika hukumu, na alishawahi kulalamikiwa na Mzee Alute wa Singida. Leo nimeamini, kwani ripoti kapika, kupika kwenyewe hajui, haijaiva, halafu akawa...
10 Reactions
112 Replies
13K Views
Nyerere aliwahi kusema "mtu mwenye akili akijua kuwa na wewe una akili akakushauri jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau". Hili ni kweli pia kwenye suala hili. Mtu mwenye akili akijua...
84 Reactions
225 Replies
17K Views
Awali ya Yote naipongeza Serikali kwa kuanza Kujenga hilo daraja la Mbutu ambalo ni kiunganisho muhimu sana cha mawasiliano kwa wakazi wa wilayani Igunga mwisho wa siku wananchi sio kwamba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya mahakama kutengua ubunge wa Dalal Peter kafum, hatimae serikali ya ccm imeanza ujenzi wa daraja la mbutu! Ujenzi huu ulioanza hivi karibuni unaonyesha ni jinsi gani ccm wanavyohofia...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Dr. Dalaly Kafumu Kana kwamba kukomelea msumari kwenye suala la kukithiri kwa rushwa mchini, Dr Kafumu, mbunge wa CCM aliyenguliwa kiti cha Igunga, ameandika kitabu juu ya kukithiri kwa rushwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeiona hii kutoka ukumbi mwengine, lakini inababaisha! Is this a confession of corruption or what? ...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya mimi kuripoti humu JF jana kuwa CCM imeanza kujiandaa kwa Kampeni za Sumbawanga Mjini,jana kilifanyika kikao kingine. Nashukuru hawakunifahamu hivyo kutonitenga. Nikawepo tena kwenye...
11 Reactions
35 Replies
3K Views
Hii imetokea DRC, ambapo waziri wa ulinzi amefutwa kazi na kufunguliwa mashitaka kwa uzembe wa milipuko ya mabomu. Katika mashitaka hayo watajumuishwa na maafisa kadhaa wa jeshi. Huku kwetu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Last week i had a glimpse on CNN inside Africa, the anchor of the program has been moving around the continent to tell the world what is going as far as Africa is concerned. When he was in Zambia...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Naomba kukiri ndani ya jukwaa hili kwa mara ingine tena kuwa huyu professor yuko mbali sana kiakili kuwa hapa Tanzania. Inasikitisha sana namna ambavyo hatumiki kuijenga nchi yetu tunayoipenda. Au...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
- Ni bw. Msoffe aliyepigwa jana jioni wakati akizuia wamama wasiporwe bidhaa zao. - Jana alilala polisi bila dhamana na leo wakampeleka mahakamani ila hakuweza hata kusimama. Akaandikiwa aende Mt...
2 Reactions
103 Replies
10K Views
Watu wawili,akiwemo mwanafunzi wa Sekondari,wameuawa kwa kupigwa risasi kama wanyama Wilayani Rufiji mkoani Pwani. Watu hao wameuwawa na Askari wa Wanyamapori. Walidaiwa kuwa ni majangili katika...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…