UFAFANUZI: Habari za kifo....

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
Wakuu,

Palikuwa na habari ambayo iliwekwa hapa kama tetesi, lakini habari hizi ninapenda kuwafahamisha wadau kuwa aliyefariki ni kaka yake mbunge Zaituni Buyogera mbunge wa Kasulu Vijijini (NCCR) na hivyo nipende kuwafahamisha wadau kuwa habari za awali zilikuwa na kasoro kidogo.

Habari hizi zimethibitishwa na viongozi wa NCCR, ndg Kahangwa na Mhe. Mbatia.
 
Poleni wafiwa na Mungu awape ujasiri katika kipindi hiki kigumu.
Haijalishi ni kiti cha thamani gani ambacho shetani amekupa hapa duniani, mwisho wake ni maafa.
 
Nafsi iligoma kuchangia post ile kwani haikuwa na maelezo yaliyojitosheleza!
 
Haya ndo madhara ya kukimbilia kutoa habari hapa JF kabla ya kuzithibitisha.. Nadhani kuwe na utaratibu wa adhabu ili wana JF turudi kwenye mstari..
RIP..
 
Kuna jamaa mmoja siku moja aliharibu hali ya hewa hapa jukwaani eti rest in peace wafiwa,e bana eeee.
 
Wakuu,

Palikuwa na habari ambayo iliwekwa hapa kama tetesi, lakini habari hizi ninapenda kuwafahamisha wadau kuwa aliyefariki ni kaka yake mbunge Zaituni Buyogera mbunge wa Kasulu Vijijini (NCCR) na hivyo nipende kuwafahamisha wadau kuwa habari za awali zilikuwa na kasoro kidogo.

Habari hizi zimethibitishwa na viongozi wa NCCR, ndg Kahangwa na Mhe. Mbatia.

Ndiyo maana huwa najiepusha kuchangia habari zenye mashaka na zisizothibitishwa. Asante mkuu n00b kwa kutuletea habari kisayansi. R.I.P. Marehemu.
 
Habari nyeti kama hizo zisizona uhakika zinaweza kuleta usumbufu mkubwa. Pole zaituni buyogela kwa kuzushiwa kifo hapa jukwaani, mods mtakeni radhi pia mh. Zaituni na wanakasulu
 
Back
Top Bottom