Jukwaa la Katiba Tanzania limesema kupatikana kwa katiba mpya ifikapo Aprili, 2014 ni ndoto kutokana na kusuasua kwa zoezi la ukusanyaji wa maoni linalofanywa na Tume ya Katiba kushindwa kufika...
Nimeipenda sana kauli hii ya Lowasa katika gazeti la Mwananchi la Leo Jumatano;
Reginald Simon na Daniel Mjema, Dodoma | Mwananchi | Agosti 08, 2012
KAMATI ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na...
Katika kipindi cha Makutano Jumamosi ijayo mgeni atakaeongea na Fina Mango ni mbunge wa Singida Mjini Mheshimiwa Mohammed Dewji atakaeongea masuala mbalimbali ikiwepo maisha yake binafsi, ya...
Je ni maofisa wepi wa Foreign waliandika speech ya Membe Bungeni? Kuna mtu alianzisha thread humu JF na kutuelezea maofisa wa Kimalawi walivyojipenyeza mpaka ndani ya idara nyeti za serikali na...
Katika uchaguzi 2010 Tanzania tulishuhudia CCM wakiikimbia midahalo iliyokuwa inaendeshwa TBC na hata kuwakataza wagombea wao kushiriki. Midahalo hii ni fursa muhimu kwa wananchi na upatikanaji wa...
Hivi karibuni Gazeti jipya liitwalo 'Kutoka Arusha,' limeanzishwa mjini A-town.
Lina kama miezi mitatu sasa tangu lianze na hapo mwanzo nilidhani ni la 'Chadema' maana front page za matoleo yake...
Serikali kupitia Wizara ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imemwagiza Balozi wa Tanzania nchini Italia, Dk. James Msekela, kuiandikia barua serikali ya Ugiriki kuwa Tanzania imechukizwa na...
Katika kitabu "AFRICA'S ODIOUS DEBTS": HOW FOREIGN LOANS AND CAPITAL FLIGHT BLED A CONTNENT.
Kimeweza kuweka wazi ni jinsi gani UFISADI umedidimiza taifa letu. Kwa kifupi ni kwamba kati ya mwaka...
Pamoja na nchi yetu Kutamkwa kuwa ni nchi ya amani, nchi iliyopata uhuru miaka 50 iliyopita, nchi ambayo mbali na vita na utawala wa Idd Amin Dada wa Uganda haijawahi kuwa na msukosuko wowote wa...
Haya ni maneno ya mbunge wa Nzega Hamisi Kigwangalah aliyosema katika ukurasa wake wa facebook.
"Kuna mtu mmoja anahangaika jimboni
Nzega sasa hivi eti anazuia watu
wasilime pamba kwa kuwa...
Freeman Aikaele Mbowe- as i know him so far
- Freeman Aikael Mbowe is the Opposition leader of current opposition part CHADEMA in Tanzania in my life time i had an opportunity of talking to him on...
Kuna watu wanajaribu kupiga debe kwamba rais ajae atoke Znz. Ni kweli ili kudumisha muungano rais anaweza kutoka Znz lakini isiwe ni issue ya kisiasa. Ukweli katika wazanzibar wa sasa, hakuna...
Ukiangalia kichwa cha habari hapo juu utagundua kuwa unachoenda kukipata si cha kweli na kimejaa uongo ndani yake. Heading hiyo iko kwenye gazeti la sauti huru.
Sauti huru nila kada wa ccm...
Najiuliza maswali sipati majibu wadau nisaidieni eti huyu Kinana ndiyo yule alikuwa mbunge wa Afrika mashariki pia akachaguliwa kuwa spika wa bunge hilo, hivi huyu ndiyo yule au huyu ni mdogo...
Chagulani Adams
Chagulani Adams
Nipenda kutumia fursa hii kuwataarifu wapenzi wa mageuzi na wakweli wote kuwa sina mpango wa kujiunga na Chama cha Mapinduzi kama maadui zangu wa kisiasa...
Vuta nikuvute na pilika pilika wilayani Ludewa zinaonyesha wazi kwamba kutakuwa na mchuano mtamu sana kati ya Deo na mama aliyetokea kupendwa ndani ya chama na serikali ya JK.
Na yasemekana...
Hivi ndiyo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa FaceBook:--
"Hamisi Kigwangalla4 hours ago
"Uchaguzi Mkuu wa CCM Wilaya ya Nzega umemalizika salama na tumepata viongozi mahiri. Ni imani yangu...
Inaonekana Katiba iliyopo inaruhusu Upotevu wa AMANI kuletwa na IMANI zetu!
Katiba iweke wazi mambo yahusuyo dini.
Iongee kinaganaga kuwa Serikali haina dini na wala haifuati dini yoyote na...
Raisi wangu mpendwa,wakati unazunguka kutafuta kura yangu/zetu katika kampeni za uraisi ulijipambanua kwa kutoa ahadi kedekede kwa kutuhakikishia maisha bora kwa kila mtanzania.
Katika sera zako...
Imekuwa ni tabia ya CCM-CUF-Na Wengine huku Zitto akiwa na mitandao inayotafuta umaarufu katika hayo mambo 3.Kama wameamua wekeza katika haya mambo basi wajiandae kutupa majibu katika majukwaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.