Rais wangu, wananchi wako hatujakutuma kwenda kufanya kazi hizi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wangu, wananchi wako hatujakutuma kwenda kufanya kazi hizi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wild fauna, Oct 3, 2012.

 1. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Raisi wangu mpendwa,wakati unazunguka kutafuta kura yangu/zetu katika kampeni za uraisi ulijipambanua kwa kutoa ahadi kedekede kwa kutuhakikishia maisha bora kwa kila mtanzania.
  Katika sera zako sikuona sehemu uliyokua unaomba upewe nafasi ili uwe mtembezi wala ombaomba.
  Safari za kiongozi wangu za kwenda nje zimekua nying kuliko za kuja huku matombo,ulanga, nanguruwe na kwingineko hapa nchini.
  Vijana wamekosa matumaini kiasi kwamba imebaki liwalo na liwe,imefikia point watu sasa wanatafuta sababu ya kufa kwa mfano hebu tazama watu hawaogopi tena polisi na silaha zao tena,nachelea kusema tuendako ni pagumu sana my president please safeguard the situation.
  Kuna kazi nyingine ambazo mabalozi wanaweza kuzifanya sio mpaka kila mwaliko lazma uende wewe.
  Nakutakia safari njema huku marekani na canada.
   
 2. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  :plane:
   
 3. K

  Kanundu JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 891
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni laana ya kula miguu ya kuku. Yeye ni kiguu na njia milele.
   
 4. Mwenyeminazi

  Mwenyeminazi Senior Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kukitokea msiba atakuja. Ombeni Mtu afe huko wa kueleweka
   
 5. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Si utapata vyandarua na ahadi kedekede JK akirudi?
  Baba kaenda kuomba kwa sijui nani zake wale maana hata sielewi hasa uhusiano wao maana kila siku anapewa yeye tu sijui huwa anatoa nini kurudisha fadhila?
  Usijali akirudi utapata jibu ya nini alienda kufanya,kwa sababu zipi zilimfanya aende hata baada ya kumtuma Membe kumuwakilisha huko huko Amerika kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa.
   
 6. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wajemeniee! Amekwenda kuhemea!
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,164
  Trophy Points: 280
  Jamaa ana kipaji kutoka moyoni, kipaji cha MATONYA.
  Hapa Matonya akiwa amepeleka bakuli lake ughaibuni ili Watanzania wasife njaa.[​IMG]

  Eti asiposafiri tutakufa njaa, hivi njaa inaondolewa kwa kufanya kazi kwa bidii au kwa kuombaomba na kugawa ardhi yetu kwa wageni?
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: sidhani kama mkuu wetu hata anajua kuna sehemu nchi hii zina hayo majina
   
 9. i

  iseesa JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Siyo laana mkuu. Hajui afanye nini hapa nyumbani. Kuna siku alisema akiwa London, na ninamnukuu....."Wanasema ninasafiri safiri sana. Kah! sasa wanataka nikae nao tu, tule nao mihogo?" ....Mwisho wa kumnukuu
   
 10. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Mlikula ubwabwa,mkavaa kofia,khanga na vilemba akinamama wakafunga vichwani na vilikuwa vimeandikwa CHAGUA KIKWETE CHAGUA CCM,MAISHA BORA KWA KILA MTANZaNIA.
  Sasa ratiba ya safari bado haijakamilika mnaanza kulia
   
 11. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  john mtembezi anakula bata ndani ya USA,AMEKALIA STULI YA DHAABU NA BADO ANAOMBAOMBA hii ni hatari.
   
 12. K

  KABALE Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15

  Umenichengua kwa kejeli yako..Lakini ukweli mgumu...Nikiona shabiki au mwana ccm anapigika simhurumii aliyataka mwenyewe.. Naam JK awezi kukaa na watz ale nao mihongo bana.. watajiju
   
 13. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hii. Karibu kahawa mkuu

  [​IMG]
   
 14. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Mbona hakwenda kwenye msiba wa Daudi Mwangosi
   
 15. n

  nyako Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona unaongea yale yale unayoyapinga, kama balozi anaweza kumwakilisha Rais nchi za nje, huko Matongo Nanguruwe na kwingineko lazima aje Rais kweli, hakuna watendaji wengine? Hivi unategemea kweli Rais aje awambie wananchi wa Matombo kuwa ni kosa la jinai kutoheshimu mamlaka zilizoko kisheria? Mkuu, fanya kazi kwa bidii, Rais siyo kichaa mpaka afanye ziara ambazo hazina tija kwa taifa. Tusisikilize propaganda za wanasiasa hazitufikishi popote kwani nao lengo ni hilo hilo la kuingia ikulu ili waweze kufaidi hizo safari ambazo kimsingi hakuna Rais ambaye hatazifanya kwa maslahi ya Taifa.
   
 16. n

  nyako Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siyo kwamba umekosa cha kuchangia hadi unaanza kutukana bali ni mada yenyewe ambayo imekaa kipropadanga na ambayo imezoeleka machoni, vichwani na mioyoni wa watu wasioitakia mema tanzania hii. Rais siyo balozi wa nyumba kumi asisafiri. Hivi kama ili mtu kuwa kiongozi wa Chama cha siasa tu unamsikia mara Houston, mara Ujerumani , mara Ufaransa, itashindikanaje kwa rais wa nchi?
   
 17. n

  nyako Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aliogopa kutolewa kafara na CDM.
   
 18. moto2012

  moto2012 JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 2,170
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Labda awe msanii wa bongo movie au bongo fleva! Polisi wake aliowatuma kuua wakiua anakauka kimyaaa!!! Anajua akienda hatapata nafasi ya kupiga siasa msibani!
   
 19. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kweli hili jukwaa limekuwa la kutaniana tu na siyo la kujadili mambo yenye maslahi ya taifa. eti baba kaenda kuomba teh teh. JK mtu wa kazi bwana hizi sasa zimeshuka hadhi zaidi siyo propaganda tena bali kufa kwa akili. Punguzeni kula mayai ya kuku wa kisasa jamani mtajikuta mnachezea makopo na watoto wenu.
   
 20. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,825
  Trophy Points: 280
  Rais huyu akiwa tz basi ni kwa ajili ya shuhuli za ukada wa chama.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
Loading...