Midahalo kwa Wagombea Urais

Mmeku Tukulu

Member
Feb 11, 2012
92
27
Katika uchaguzi 2010 Tanzania tulishuhudia CCM wakiikimbia midahalo iliyokuwa inaendeshwa TBC na hata kuwakataza wagombea wao kushiriki. Midahalo hii ni fursa muhimu kwa wananchi na upatikanaji wa viongozi bora. Wana jamii mnaonaje swala hili lisiwe tena la kihiyari bali la lazima na liwekwe kwenye katiba?
 
Back
Top Bottom