Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

04 OCTOBER 2012 Na Raphael Okello. KATIBU mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM) ni mzaliwa wa kata ya Iramba, jimbo la Mwibara wilaya ya Bunda mkoani Mara. Historia ya jimbo hili kisiasa sio...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna kila dalili za kuibuka mgogoro wa kidiplomasia Kati yaTz na Kenya kwenye mpaka wa Horohoro ambapo kuna mradi wa ujenzi wa mradi wa one stop border. Kila Nchi inajenga mradi huu kwa upande...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Zanzibar na China zasaini mkataba wa mashirikiano ya kiuchumi na kiufundi Waziri wa Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo Zanzibar Omar Yussuf Mzee,kwa Upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Karatu is a CHADEMA stronghold. The only thing that comes to mind why ZZK is going there now is that it's such an ideal picturesque place. ZZK needs such pictures to solicit sponsorship for his...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Ni yule aliewahi kusema kuwa wamarekani wanataka yeye awe rais wa tanzania.katika uchaguzi unaoendelea hivi sasa amekabwa kooni na kijana mdogo maskini wa kitanzania deo daffi. Nyalandu anamwaga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa habari za uhakika, kutoka chanzo cha uhakika ni kwamba mkutano wa CCM Dodoma na chaguzi zinazoendelea ndani ya chama vinanendeshwa kwa mamil ya pesa zilizochotwa Hazina. Pesa hizo ambazo...
0 Reactions
74 Replies
7K Views
Imeandikwa na Kennedy Kisula, Liwale | Habari Leo | 04 Oktoba 2012 KATIBU wa CCM wa Uchumi aliyemaliza muda wake wilayani hapa, Said Lihomba alipoteza fahamu, wakati akihesabu kura zake juzi...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ni baada ya mbunge wa jimbo hilo Maiko Lekule Laizer kutangazwa mshindi dhidi ya yule ambaye watu wanamtaka, vijana wakaja juu na kugomea matokeo kwamba uchaguzi urudiwe na mwenyekiti wa mkoa wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Alhamisi, Octoba 04, 2012 05:21 Na Alexander Joseph HIVI karibuni, maofisa kadhaa wa Tume ya Uchaguzi ya Malawi (MEC), walizuru Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania (NEC) jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yupo mkinga.... Huyu mzee sometimes sijui anaongeaje! Wakati mwingine yes wakati mwingine no!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mh Waziri wa sheria Zanzibar AbuuBakar Khamis Bakari Na Masoud ali…. Mjumbe wa baraza kuu la CUF taifa ambae pia ni Waziri wa katiba na sheria ndugu Abuubakar Khamis Bakar amewasihi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
uchumi utakuwa kwa kasi, maisha yatakuwa bora kwa kila mtanzania i.e watu watakuwa na uwezo wa kula kuku kila siku , shehe ponda atatupwa jela, cardinal pengo kuwa waziri mkuu, walimu kulipwa...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Mchambuz wa mahiri wa masuala ya kisiasa na kiuchumi Mzee Jenerali Ulimwengu amesema kuwa kila baada ya miaka mitano watanzania hupewa pilao, kofia, tisheti na kanga hivyo kuendelea kuchagua...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Kamati ya Maridhiano Zanzibar (Kamati ya Mzee Moyo) imeandaa Kongamano kubwa la Kitaifa kuzungumzia Nafasi ya Zanzibar katika Mjadala wa Katiba Mpya. Kongamano hilo litafanyika siku ya Jumamosi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kuna jambo kubwa ambalo Watanzania wengi limewaathiri kifikra ni utawala wa CCM. Monopolization chini ya CCM imewafanya watu wengi ndani ya Taifa hili kuwa na fikra tegemezi, kukosa muda wa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Imeandikwa na Christina Gauluhanga na Maneno Selanyika, Dar | Mtanzania | Oktoba 04, 2014 JUKWAA la Katiba Tanzania limesema ni ndoto kwa Katiba Mpya kukamilika Aprili 12, mwaka 2014, kama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
'Kama mshahara wa mwezi huu utakuwa ule ule ambao hauna nyongeza ya mshahara,tunagoma. Hebu angalia,wenzetu wote wameshapata mishahara yao tena yenye nyongeza tangu Mwezi wa saba kwanini sisi...
3 Reactions
52 Replies
6K Views
..CCM wakimsimamisha huyu mama, na CDM wakamsimamisha Zitto, basi ushindi unakwenda kwa CCM. ..wale wana CCM kama Salim Salim, na Joseph Warioba, wanaompa kichwa Zitto Kabwe, wote watamkimbia...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Amekuwa kwenye misuguano ya mara kwa mara na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo tangu 2010, kikidai kuwa amekuwa akitumia wadhifa wake kukikandamiza katika harakati zake za kisiasa jijini Arusha...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Mimi ni mwenyeji wa Kigoma mjini lakini niko nje ya mkoa kwa muda mrefu, ningependa kujua matokeo ya uchaguzi wa CCM mkoa wa Kigoma , mwenye taarifa naomba anijuze au bado haujafanyika.?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom