AMANI kupotea sababu ya IMANI za watu - Serikali isiyo na dini - KATIBA MPYA ISEME WAZI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

AMANI kupotea sababu ya IMANI za watu - Serikali isiyo na dini - KATIBA MPYA ISEME WAZI

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by maggy, Sep 28, 2012.

 1. m

  maggy Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonekana Katiba iliyopo inaruhusu Upotevu wa AMANI kuletwa na IMANI zetu!


  Katiba iweke wazi mambo yahusuyo dini.

  Iongee kinaganaga kuwa Serikali haina dini na wala haifuati dini yoyote na hivyo mambo yahusuyo dini kama hayataingizwa katika mufumo wa serikali.

  Pia katiba iweke wazi kuwa dini yoyote AU Dhehebu lolote AU muhubiri/mhadhara yeyote wa dini au dhehebu lolote akiongea au kuhubiri juu ya imani au dhehebu au dini nyingine mtu huyo atakamatwa na kutupwa Jela maisha. Na mtu wa aina hiyo kwa kuwa atakuwa ana hatarisha AMANI ya nchi, basi hakuna kesi na wala mdhamana wa aina yoyote. Hivyo maisha yake yaliyobakia atayamalizia Jela.

  Natoa maoni haya kwa kuwa leo hii tunaona watu mbalimbali wakihubiri/wakitoa mihadhara mbalimbali juu ya imani za watu wengine. Na inaonekana hakuna uchukuliwaji wa hatua yoyote na wala hata kukemea tu wakati AMANI yetu inaondolewa na watu hawa!!

  ni maoni yangu
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,238
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Ni jambo jema, lakini daaah ukali wa sheria hii ungesimama kwa mabaka uchumi ingekuwa namafaa zaidi.
   
 3. G

  Gene Senior Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TRUE MKUU....... Naona Mashekh kila kona wanavyoangaika na kuwafuata kila wanapoenda watu wa katiba
   
 4. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  katika katiba iliyopo imetamkwa kuwa serikali haina dini,hivyo hizi vurugu za mambo ya kidini kuleta mambo ya imani ktk serikali yanatoka wapi,kuna watu wanapandikiza chuki kwa kukashifu imani za wengine hili ni tatizona litaleta balaa,viongoz wa nchi wamekaa kimya na wameapa kuilinda amani kwa nguvu zao zote,akili zao zote na kwa gharama yoyote,kwanini wanaachilia mambo yaende hovyo?katiba ijayo isisitize serikali kutokuwa na dini,na ni marufuku kushinikiza ama dini yoyote kuzungumzia juu ya imani nyngne,uhuru wa kuabudu lazima uheshimiwe na kila mmoja kama ilivyoainishwa ktk katiba.kwakweli hizi tabia za kibaguzi kwa misingi ya kidini,ukabila,ukanda,umri n.k vimekuwa vikipigiwa chapuo sana viongozi wanaoaminika na wenye kuyataka madaraka kwa misingi ya kutugawa,huu ni uzandiki,nasisitiza huu si ustaarabu hata kidogo,twaipenda nchi yetu,amani yetu,mshikamano wetu na kamwe tusikubali watz kugawanywa kwa maslahi ya mtu ama kikundi chenye uchu wa madaraka,wizi wa mali za umma unatosha so tusikubali kufinyangwa finyangwa ili wao wapate madaraka.popote walipo wakuu wa serikali yetu watazame hizi chuki zinazoenezwa kutugawa watz na kuchukua hatua kali za kisheria.mungu ibariki tz na watz!
   
 5. m

  mtayeshelwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 836
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Chokochoko hizo zimeletwa na waislam ndiyo waliyokuwa wa kwanza kuanzisha mihadhara kuikashifu imani yetu ya kikristo,na serikali imekuwa ikakaa kimya,baada ya wakristo kuamka usingizini na kuwajibu hoja walizokuwa wakitoa,wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa kutoka kwenye vyombo vya dola,.Tulejee hoja ya msingi wa katiba mara baada ya rais kulitangazia taifa kuridhia kilio cha watanzania wengi kuhusu mabadiliko ya katiba.,Tarehe 06.jan.2012 WAISLAM walizindua jukwaa la katiba na kutoa mapendekezo 30 ambayo wanadai lazima yaingie kwenye katiba mpya, na kama itashindikana tugawane nchi.Mapendekezo yao yote ukiyachambua utaona ni upuuzi mtupu na yana lengo la kuislimisha Tanzania mlango wa nyuma,hebu tuangalie baadhi ya mapendekezo ya hawa watu,1.Tanzania ijiunge na oic2.,mahakama ya kadhi itambulike kisheria na serikali igharamie uendeshwaji wake,wimbo wa taifa ufutwe, sheria ya ugaidi ifutwe aaa kumbe uislam ni ugaidi, mgawanyo sawa wa madaraka kati ya waislam na wakristo hapa wasiyo na dini hawana chao.Baada ya waslam na wakristo wakaja na maoni kinyume na ya kwa. Hivyo wa kulaumiwa ni serikali kwa kushindwa kuwadhibiti hawa waislam kwa kuchafua hali ya sasa na sisi wakristo tumechoka kuvumila upuuzi huu na hatuogopi chochote kile na tutakula sahani moja na hawa watu lolote liwalo.,
   
Loading...