Wana CCM na Zitto na CUF mkiendelea hubiri udini-Ukabila-ukanda jiandae tupa Majibu mkiwa Kaskazini.

Status
Not open for further replies.

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Imekuwa ni tabia ya CCM-CUF-Na Wengine huku Zitto akiwa na mitandao inayotafuta umaarufu katika hayo mambo 3.Kama wameamua wekeza katika haya mambo basi wajiandae kutupa majibu katika majukwaa mbali mbali nchini,bila jazba.Wala wasishangae hilo.

Tumechoka hii mizaha kwa watu kama Mukama,Wassira,JK mwenyewe,UV-CCM pwani,CUF kauli zao na Zitto na watu wake.Sasa muda unakuja inabidi mjikaze kiume kumeza huo uozeo tutakapopata majibu.Mlipofikia ni mbalia sana na dozi ya huo uchafu ni kubwa sana

Mod tunaomba msifute hii thread.Kwani hali halisi ipo wazi sana.Na wahusika wajue wameshavuka mipaka.
 
Kati yao yeyote ajue akisimama jukwaani nami nikiwepo au mwingine yeyote mwenye mitazamo ya kihafidhina kama yangu wajue watapata hilo swali hata kama wataliona kuwa Embassing namna gani.Kazi itabaki kwao kupigana,kutumia vyombo vya dola au hata kushambulia kwa jinsi wajuavyo ila ujumbe utafika na watanzania wataona upuuzi wenu na nia mbaya mliyonayo.Na watapaswa jibu,na majibu yaridhishe.

Hakuna kumuunya maneno wala kuogopa maswali yatakuja kwa njia yoyote na kwa style yoyote rargdless chama gani unawakilisha.

Its serious.
 
Imekuwa ni tabia ya CCM-CUF-Na Wengine huku Zitto akiwa na mitandao inayotafuta umaarufu katika hayo mambo 3.Kama wameamua wekeza katika haya mambo basi wajiandae kutupa majibu katika majukwaa mbali mbali nchini,bila jazba.Wala wasishangae hilo....

Umeishaisoma hii habari?


Katika hatua nyingine, Zitto alikana kuwa, Chadema ni chama cha udini, ukanda, ukabila ila akasisitiza kuwa ni chama cha kitaifa.
"Ndugu zangu naomba mnielewe, Chadema si chama cha ukabila, ukanda wala udini bali ni chama cha kitaifa. Hizo ni propaganda za wapinzani wetu," alisema Zitto baada ya kuulizwa na mmoja wa washiriki kuhusu tuhuma za chama hicho kuwa cha Kikanda.

"CCM imewahi kudai CUF ni chama cha Waislamu, na sasa wanasema Chadema ni chama cha Wakristo, sasa wao CCM ni chama cha wapagani au cha watu gani?" Alihoji Zitto.

Alisema ili kuthibitisha kuwa Chadema si chama cha Kikanda, matokeo ya urais wa mwaka 2010, Dk Wilbroad Slaa aliongoza dhidi ya wagombea urais wengine kwa kupata kura nyingi katika Jimbo la Manyovu mkoani Kigoma na hivyo kufanya kupata asilimia nyingi kuliko sehemu yoyote Tanzania.
 
Umeishaisoma hii habari?

Nimeoiona il ahaitoshi jibu mengine aliyowahi yasema.Time inakwenda kama naye ataendelea jisahau then ajue atyakuta hayo maswali ktk angle asizotegemea, na si yeye tuu hata hao manguli wa ukabila na udini, na ukanda kwani wananchi wanaotoka katika hizo kanda nao wamechoka kowa pinted out bila sababu za msingi.CCM wanalo hata Mbeya,watu wao wanadhurika wakiwa mikononi mwa dola.Kaskazini wanapigwa vita ya wazi, wakristu wanashambuliwa kuanzia ktk CCM na hata taasisi za serikali.Soon itabidi wayatoe majibu kwa uchungu popote watakapojitokeza.
 
Naona umemsahau Mzee Mtei.
Akipanda Jukwani panapofikika naye atayakuta maswali yake.CCM watagemee pia kutakiwa toa majibu kuhusu walichoma makanisa na hatua gani wamechukuliwa?Wasitegemee maswali ya DKK 45.

This is a devide move and we will take it with passion.
 
Dah! Mkuu mbona kama thread haieleweki japo kama vile kuna hoja, but Zitto kafanyaje hapa? Ila ya CCM na propaganda ya udini yanajulikana.

Ni mtazamo tu.
 
Dah! Mkuu mbona kama thread haieleweki japo kama vile kuna hoja, but Zitto kafanyaje hapa? Ila ya CCM na propaganda ya udini yanajulikana.

Ni mtazamo tu.

Utaelewa tuu akibanwa ktk majukwaa.kwani hujamwelewa Wassira?
 
Naona umemsahau Mzee Mtei.

ningalikuwa ni authoritative person with full power like the high court. Yeyote yule anayetangaza udini ukabila na ukanda ningmfunga miaka hamsini hata angalikuwa dr slaa au zitto au kikwete nisinge muacha. Ningalifanya kama kagame dhidi ya ukabila.
 
ningalikuwa ni authoritative person with full power like the high court. Yeyote yule anayetangaza udini ukabila na ukanda ningmfunga miaka hamsini hata angalikuwa dr slaa au zitto au kikwete nisinge muacha. Ningalifanya kama kagame dhidi ya ukabila.

Ulicho nacho kinatosha.Wape maswali kwa sauti na timing nzuri ya kutosha wafanya watumie akili zaidi kuyajibu yakiwashinda wapigane tuu kuliko kuleta hadithi za kijinga.
 
The issue ni kwmaba DKK 45 and the sort isiwe tena ndio mwisho wa challenges wanazoweza pata hawa watu.Kama wanapeleka hela na mwasali ya kujisafisha iwe ni juu yao wakirudi ktk jamii basi wakute vinavyostahili.Wakute vile hata wake zao na watoto wao wataona kuwa aliye wao ahta kama anawapa ulaji ila hayupo kihivyo.Na hawawezi kuwa proud naye in public.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom