Huwa nachangia mara chache ndugu zangu, lakini ni mhudhuriaji mkubwa wa mihadhara ya humu jamvini. Waungwana, tafadhali naomba niseme ninayoyaona ndani ya akili yangu. Naanza kwa kusema...
Naam, hivi ndivyo fedha zetu zinavyotumika...
Please check the attached file, posted on MoF website on tenders.
See how much money was spent to celebrate 50 Years of Independence & how much we...
mie nikijana mdogo sana nina pata miaka 21 sasa tangu akili yangu ilipo pata kutambua kwamba hii ni nyekundu na hii ni nyeupe nimekua nikipata shida sana kwani kwanilivyo sikia wenzetu MAREKANI...
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi Zanzibar
Kampuni ya Azam Marine inayomiliki boti ziendazo kasi hapa nchini, leo imeingiza meli mpya na ya kisasa itakayochukua zaiidi ya abiria 1500 na...
JUMATANO, OCTOBA 03, 2012 06:21 NA VICTOR BARIETY, GEITA
BAADHI ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita, wanadaiwa kupanga njama za kukidhoofisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
RAFIKI yangu Dk. Lupembe alinipa wazo.
Daktari Lupembe anasema badala ya watu
kuhamasishwa wapigie vivutio vya utalii
viingizwe kwenye maajabu saba ya dunia, ni
afadhali tuipigie Tanzania kura...
RAFIKI yangu Dk. Lupembe alinipa wazo.
Daktari Lupembe anasema badala ya watu
kuhamasishwa wapigie vivutio vya utalii
viingizwe kwenye maajabu saba ya dunia, ni
afadhali tuipigie Tanzania kura...
Mzee Msekwa,makamu mwenyekiti CCM, ANATOA MAJIBU YA HATARI SANA KWA CHAMA Chetu ktk kipindi cha Jenerali on Monday.
Anasema kuwa imeshindikana kuwashughulikia wanachama wanaotuhumiwa kwa...
Zaina Malongo
SERIKALI inafikiria kupiga marufuku matumizi ya mifuko laini ya plastiki Tanzania bara .
Kauli hiyo ilitolewa na Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira), Dk Terezya Huvisa...
Kama kungekua na mashindano ya kuzungumza maneno, basi Tanzania ingekua kinara na pengine ingekuwa ikifanikiwa kutwaa medari zote za dhahabu hasa katika mashindano ya dunia.
Tumekua hodari wa...
Kuna msemo wa kufa kisabuni. Ndo hali inayoikumba chadema. Kwa wakazi wa arusha hapana shaka ni mashuhuda wa mkutano wa kufa mtu wa cuf hapo arusha ambavyo uliwatia aubu wana chadema kwa makombora...
Kuna habari ambazo hazijathibitishwa kuwa Meya wa manispaa ya ILALA MH JERRY SILAA anashikiliwa na taasisi ya kuzuia rushwa TAKUKURU MKOANI IRINGA KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI 15...
Kule Moshi wahindi na waarabu kama akina Panjuani waliokuwa wakitamba kwa maduka makubwa ya electric appliances sasa utawaonea huruma! Wamesimama ndani ya maduka yao wakitazamana wao kwa wao...
Leo Jumatano tar. 03 OCT 2012 saa nne asubuhi katika kipindi cha meza ya busara, Wapo Radio fm 98.00 DSM au sikiliza http://www.ustream.tv/channel/wapo-radio-fm Kipindi cha meza ya busara...
Kwanza napenda kutoa shukrani nyingi kwa Serikali yetu kwa kufanya jitihada kubwa ya kuujenga Mji Mkuu wetu wa Dodoma. kwa ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, ofisi za Benk Kuu, Hazina, Nyaraka na...
Wazee nchini wamesema serikali haijawa na nia ya dhati ya kushughulikia changamoto zinazowakabili, hivyo wametaka itungwe sheria itakayosimamia utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Wazee.
Walisema...
Wakuu Nakumbuka Tuliambiwa kwamba M4C itaanzantena mwishoni mwa mwezi wa 9 yaani kwenye Tarehe za 29 lakini cha ajabu huu ni Mwezi wa 10, Walioko Huko Jikoni watujuze, Au ndo bado Maombolezo ya...
Tuesday, 02 October 2012 20:31
APANGA MAJESHI YA URAIS 2015, ASEMA MONDULI NDIYO MSULI WAKE WA KISIASA
Waandishi Wetu
KAMBI zinazosigana ndani ya CCM zinaonekana kuchuana vikali katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.