Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SIASA za makundi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimetajwa kuwa chanzo cha kuangushwa kwa Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye katika nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (Nec), kupitia...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inatuhumiwa kuwatelekeza mabalozi wake wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kati ya watu waliokuwa washabiki wa Dr Slaa katika Chadema ambao huwa anamtaja Dr Slaa mara 20 ktk makala yake ni Samson Mwigamba, mkiti wa Chadema mkoa wa Arusha. Na ndugu huyu huyu akaja kupata...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwandishi wa muda mrefu Mayage S. Mayage ambaye aliwahi kuingia katika mvutano mkubwa na chama cha demokrasia na Maendeleo-CDM kutokana na makala zake leo amempa somo kubwa mbunge wa kigoma...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Hakuna asiyefahamu kwamba Dr.Slaa is a Public Figure, kila jicho linamtazama yeye atasema nini, atafanya nini na n.k. Nimetafakari sana juu ya mwenendo wa chama na hatimaye nikapata jibu moja...
3 Reactions
70 Replies
6K Views
Nindoto yangu kugombea ubunge maishani mwangu.
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Ziwa Nyasa linawaliza Wamalawi kwa Kasi ya AjABU hivi juzi Rais wa Malawi mama Banda au Joyce Banda Ametangaza kusitisha mazungumzo na Tanzania kwa kusema kwamba qamwshoka na Vitisho wanavyopata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ALHAMISI, OCTOBA 04, 2012 04:33 NA WAANDISHI WETU *Mhandisi Makani atupwa nje Tunduru ALIYEKUWA mbunge wa Igunga, Dk. Dallal Kafumu, amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimepitia makala hii kwa umakini sana nakuona dhahiri uyu mhariri wa mwananchi moses mashala ndani ya ukurasa wa 11 wa gazeti ameipamba cuf kana kwamba kama vile hawa ccm b wameiteka arusha...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Imeandikwa na Jeremiah Vitalis | Habari Leo | Oktoba 04, 2012 WIZARA ya Nishati na Madini imegundua ‘madudu' katika sekta ya madini, ikiwamo utoroshaji wa madini ya tanzanite kwa punda na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Takribani miezi miwili na ushei tangu Bodi ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuwasimamisha kazi viongozi wakuu wa shirika hilo akiwamo Mkurugenzi Mkuu, William Mhando na wenzake watatu kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ALHAMISI, OCTOBA 04, 2012 04:35 NA ELIZABETH MJATTA *Ni Zainabu Vullu wa viti maalumu mkoa wa Pwani *Nape asema uchunguzi dhidi yake bado unaendelea *Asisitiza hata akishinda uchaguzi leo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasaalam wakuu,kipande cha barabara cha mita 5 ,kimemchukua makandarasi zaidi ya mwaka kutengeneza na sasa ni kama kimekamili japo kwa kiwango cha chini sana! Na wameifunga kwa kuweka katapila...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbunge wa Nyamagana-MWANZA Ezekiel Wenje na aliyekuwa diwani wa kata ya Sombetini-ARUSHA kupitia CCM kabla ya kujiuzulu na kujiunga CHADEMA bwana Alphonce Mawazo,watazindua kampeni za CHADEMA kwa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
M4C ipo Simanjiro, Jana walifanya mkutano kwenye kijiji cha Sukro, masaini Kabisa. Leo watafanya kwenye kijiji cha Terat ambayo ni centre kubwa kulinganisha na Sukro. Ni operesheni ya siku Tatu...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Nashauri iwe hivyo kwasababu huyu bwana ameweza kusaidia ujenzi wa shule za kidato cha tano na cha sita katika wilaya ya Hai ukizingatia kila tarafa amejitahidi kujenga shule za kidato cha tano na...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Suala la chama cha mapinduzi kuwaepusha wagombea wao na midahalo ya wazi 'debates' kutokana na kutowaamini kiuewezo, imepelekea ofisi za umma kukaliwa na matango pori eti viongozi. Debate...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Takribani miezi miwili na ushei tangu Bodi ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuwasimamisha kazi viongozi wakuu wa shirika hilo akiwamo Mkurugenzi Mkuu, William Mhando na wenzake watatu kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati rais JK akitembea kifua mbele kwa kuishindilia Dar es Salaam miradi mbalimbali, huku kwetu hali ni mbaya. Tumekuwa kama watu wa nchi ya jirani na nchi ya DSM, kusikilizia kwenye maredio...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
03 OCTOBER 2012 Na Mwanajuma Juma, Zanzibar CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa, kuacha kukipigia ramli chama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom