Gazeti la "kutoka arusha!"

mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,236
954
Hivi karibuni Gazeti jipya liitwalo 'Kutoka Arusha,' limeanzishwa mjini A-town.

Lina kama miezi mitatu sasa tangu lianze na hapo mwanzo nilidhani ni la 'Chadema' maana front page za matoleo yake yote ya mwanzo zilisheheni picha za viongozi wa chama hicho na kuna toleo moja mzee mtei alipewa kurasa mbili nzima za ndani kwa interview.

Hata hivyo kwa kadri siku zinavyokwenda naona limekuwa likiandika vitu vizuri pia na binafsi nimevutiwa na makala ya kila wiki ya 'Kwenye 'Dala-dala' inayoandikwa na mtu ajiitaye 'Mpanda Vifodi!"

Kwa kweli inachekesha ila pia inazungumzia machafu ya nchi yetu kwa mtindo wa mzaha (satire).

Big up 'Kutoka Arusha,' ila pia ningependa kujua waanzilishi wa gazeti hili ni akina nani, just for interest.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
asante taaa.....kwa kutujulisha kama kuna hili gazeti......ashee tukulu.....
 
The only thing we miss in Arusha city is Arusha based TV stations.
 
Hivi karibuni Gazeti jipya liitwalo 'Kutoka Arusha,' limeanzishwa mjini A-town.

Lina kama miezi mitatu sasa tangu lianze na hapo mwanzo nilidhani ni la 'Chadema' maana front page za matoleo yake yote ya mwanzo zilisheheni picha za viongozi wa chama hicho na kuna toleo moja mzee mtei alipewa kurasa mbili nzima za ndani kwa interview.

Hata hivyo kwa kadri siku zinavyokwenda naona limekuwa likiandika vitu vizuri pia na binafsi nimevutiwa na makala ya kila wiki ya 'Kwenye 'Dala-dala' inayoandikwa na mtu ajiitaye 'Mpanda Vifodi!"

Kwa kweli inachekesha ila pia inazungumzia machafu ya nchi yetu kwa mtindo wa mzaha (satire).

Big up 'Kutoka Arusha,' ila pia ningependa kujua waanzilishi wa gazeti hili ni akina nani, just for interest.

Mwalekwa wa startvt na mwenzake nimemsahau kidogo,
 
sawa kamanda.......
hivi kiongozi.....Ayumi alipatikana.....? nimekuwa na wasi wasi sana juu yake......

Hahahaaaaaaaaa! Mjomba Ayumi hakupatikana, nawasiwasi na Shemeji zake na PakaJimmy, manake nasikia walipita pita maeneo siku hiyo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom