Tuitazame upya nafasi ya Katibu Mkuu CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuitazame upya nafasi ya Katibu Mkuu CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbelwa Germano, Oct 3, 2012.

 1. Mbelwa Germano

  Mbelwa Germano JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 789
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna asiyefahamu kwamba Dr.Slaa is a Public Figure, kila jicho linamtazama yeye atasema nini, atafanya nini na n.k. Nimetafakari sana juu ya mwenendo wa chama na hatimaye nikapata jibu moja, MABADILIKO ndani ya chama ni MUHIMU.

  Nafikiri ni muda muafaka sasa Dr. Slaa akagombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama na kukipa chama nguvu zaidi. Iwapo tunaamini demokrasia ya kweli ni muda mwafaka wa kufanya mageuzi ya kweli kuimarisha mizizi ya chama. Ipo haja kubwa ya kutafuta mtu mwingine kuziba nafasi ya Katibu Mkuu wa sasa kwa kuzingatia taaluma na weledi wa kazi, ambaye ataweza kuziunganisha kurugenzi za chama na kuziongezea ufanisi wa kiutendaji.

  Mheshimiwa Freeman Mbowe amefanya kazi kubwa sana kwa nafasi yake, sasa ni wakati wa kuingia hatua nyingine ya kutafsiri kwa mapana mabadiliko makubwa ambayo CHADEMA inakwenda kufanya ili hatimaye yaweze kuingia kwenye bongo za watanzania.

  Tutazame upya:
  1. BAWACHA
  2. BARAZA LA WAZEE
  3. BAVICHA
  4. KURUGENZI
  5. VIONGOZI WA CHINI WA CHAMA (Mikoani,Wilayani n.k.)

  Je ipo haja ya mabadiliko?
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwahiyo Zitto awe katibu mkuu pale au sio.
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mbowe atoswe kwa kosa lipi?
   
 4. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,092
  Likes Received: 11,230
  Trophy Points: 280
  2025 atagombea John Mnyika. Believe me.
   
 5. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  kwa nini usiyaongee haya kwenye vikao vyenu vya chama?
   
 6. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nafasi ya katibu mkuu inapaswa kushikwa na Doctor Slaa kwa sababu ni nafasi ya mtu mwenye taaluma.

  Kwanza kabla ya yote alikuwa Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, hii siyo kazi ndogo kuwa katibu mkuu hivyo maoni yangu ni kwamba bado Slaa aemdelee kuwa katibu.

  Kuhusu mgombea kuwa na nguvu sidhani kama ili kuwa na nguvu ni lazima uwe mwenyekiti? Jibu ni hapana.

  Chama kinatakiwa kumpendekeza mtu yoyote kuwania uraisi siyo lazima awe mwenyekiti au mtendaji,

  Mbona nchi nyingi hufanya hivyo.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  sio kutoswa, kwani ni usultani huu? Na ni opportunity ya kufanya successor arrangements.
   
 8. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,565
  Trophy Points: 280
  Mbelwa Germano

  Mkuu sahihisho kidogo mtu aliyetangaza nia hadi sasa ni ZITTO KABWE tu!!!! wazo lako ni zuri lakini nakuhakikishia Mh Mbowe bado ni muhimu sana kwa nafasi yake,nje ya hapo nguvu yake kimaamuzi itakuwa ndogo na bado Chadema hajafikia huko pakuona Mh Mbowe akae pembeni!

  Angalizo tuonyeshe ukomavu kuchangia thread hii wapenzi,wanachama wa Chadema!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  Mbelwa Germano

  Umechoka, Zitto ndio hafai tena asubiri ubunge na uwaziri kama nchi itaenda wapendapo watz. Kila nafasi in amtu more competent kuliko yeye.

  Mbowe alipo kafit, Dr. Slaa alipo amefit kabisa wapo akina Lissu, Mnyika etc. hawa sioni pa kumweka Zitto ambaye hajamake decision ktk chochote hata role model wake halisi majui kila siku na mwingine. Huku wakitofautiana sana kiasi cha kutoweza kuwachukua wote.

  Kwa ujumla Zitto ndio biashara yaek imekwisha asubiri tuu kifo kutangazwa rasmi. Mkabila mkuu anayechukia wachaga na watu wengine wa kaskazini, soon ataongeza wengine katika list ya asiowataka, pengine ataenda ukanda wa akina Sugu kama CCM.... Hafai kuwa kiongozi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Nakubaliana na mawazo yako.

  Kwakuwa Mh. Mbowe katangaza tayari kutotaka kuendelea na nafasi ya uenyekiti wa chama baada ya kukiongoza cha kwa awamu mbili za mafanikio makubwa, nadhani ni kweli tukaanza kujadiri nani wa kumrithi kabla ya kujadiri urais ambao bado tunao mda wa kutosha na pia urais utategemea nguvu ya chama kwa wakati huo kulingana na uongozi wa chama utakao kuwepo.

  Si vibaya kuanza kuwapima vijana wetu kama Nyika, Mdee, Lisu na wengine walio na upeo, uwezo, busara na hekima ktk kuwaanda kuchukua nafisi ya katibu mkuu na wakati huo kupima wakongwe wetu kama Dr Slaa, Marando, Prof. Safari na wengine katika nafasi ya uenyekiti. Tujadiri.
   
 11. M

  Magesi JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi kwa mtazamo wangu chadema inahitajika kufanya mabadiliko makubwa ya kiutendaji kwani hamna mawasiliano mazuri ya kimkakati baina ya viongozi wa makao makuu na wa mikoani
   
 12. z

  zamlock JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  mimi naona bado wananafasi kubwa sana ya kuendelea kutuongoza kwenye chama chetu cha msingi hapaa ni sisi wanachama kuwa unga mkono kuwa wawndele bado nchi aijakombolewa tuki hakikisha wameshika dola sasa ndo tuwape nafasi ya wao kupumzika
   
 13. M

  Molemo JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mbelwa Germano

  Mkuu wangu asante kwa bandiko lako lakini naomba nikusahihishe kidogo. Dr Wilbroad Slaa hakuwahi kutamka hata mara moja kwamba atagombea urais uchaguzi ujao. Ni kumuonea kumlisha hayo maneno kwani Dr Slaa si mtu wa hovyo kupindisha taratibu za chama na kujitangaza leo eti atagombea urais miaka 3 ijayo.

  Hilo linafanywa tu na mtu mwenye hila chafu kuchafua upepo ndani ya chama.

  Kuhusu uongozi wa chama bado tunamhitaji Freeman Mbowe awe Mkiti wa chama kwa kazi kubwa aliyofanya na Dr Wilbroad Slaa aendelee kuwa Katibu Mkuu. Kujaribu vinginevyo ni kutaka kutikisa chama.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  Huo usultani unauona CDM tuu?Vipi CUF,TLP, NCCR, CCM?mtachoka sana.
   
 15. m

  mamajack JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  cdm ni democrasia,hata zito akichaguliwa atakuwa,lakini si kwa mabavu.
   
 16. k

  kidele Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  zito kwanza kwa wakati huu bado hajaiva kwenye kugombea urais,kingine yule bwana ni mamluki,kwahali ilivyo siye tuna uhakika na dr slaa ndiye pekee ambaye anaweza kuichachafya ccm kwenye kinyanganyiro cha urais 2015 na anakubalika.nawasilisha:spy:
   
 17. B

  Baba Clara Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amesema kweli kabisa, Flow of Information bado ni changamoto kubwa, Kurugenzi za CDM bado hazijafanya kazi kwa ufanisi...kunahitajika mabadiliko.
   
 18. Mbelwa Germano

  Mbelwa Germano JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 789
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huu sio wakati wa Party Supremacy, Makuzi yoyote ya kidemokrasia lazima yaambatane na changamoto, Dr. yupo well contented hivyo anaweza sana kutafsiri kwa ufanisi zaidi Mabadiliko ambao CDM wanasimamia, kamwe usiogope neno DEMOKRASIA, sasa ni wakati wa kufanya SIASA na sio HARAKATI.

  Nafasi ya ukatibu haitaji sana political figure, bali strategy maker, na hivi ndio tutajenga CDM imara zaidi.
   
 19. O

  Old Member (Retired) JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 3,449
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 0
  mabadiliko ni muhmu sana popote pale hata China walikuwa wakimuona MAO kama Mungu wao na waliamini hakuna kama MAO lakn leo hii unaweza kuona RAISI waliyenae sasa amefanya makubwa zaidi kwa kuendeleza alichofanya MAO kwahyo cha msing ni mabadilko ndan ya CHADEMA kwa kuangalia hyo nafas unampa nan na sio mtu km ZANA ZA KILIMO (ZZK)
   
 20. O

  Old Member (Retired) JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 3,449
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 0
  mabadiliko ni muhmu sana popote pale hata China walikuwa wakimuona MAO kama Mungu wao na waliamini hakuna kama MAO lakn leo hii unaweza kuona RAISI waliyenae sasa amefanya makubwa zaidi kwa kuendeleza alichofanya MAO kwahyo cha msing ni mabadilko ndan ya CHADEMA kwa kuangalia hyo nafas unampa nan na sio mtu km ZANA ZA KILIMO (ZZK).
   
Loading...