Hofu ya Ziwa Nyasa na Malawi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hofu ya Ziwa Nyasa na Malawi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by brasy coco, Oct 4, 2012.

 1. brasy coco

  brasy coco JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 1,296
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  Ziwa Nyasa linawaliza Wamalawi kwa Kasi ya AjABU hivi juzi Rais wa Malawi mama Banda au Joyce Banda Ametangaza kusitisha mazungumzo na Tanzania kwa kusema kwamba qamwshoka na Vitisho wanavyopata Raia wake toka kwa Tanzania anasema "nikiwa Safarini kwenda New york katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa nilitegemea swala hili kuisha kwa Mazungumzo lakini nikiwa Njiani Tanzania wametangaza kuzindua Ramani mpya ya Ziwa hilo lenye kuaminika lina Utajiri wa GAS na Mafuta

  Na wanatishia kushambulia Boti yeyote ya Malawi itayoingia ndan ya Ziwa hilo" Joyce Banda anasema Tanzania wanaonesha Ubabe na Utemi kwa hiyo kushirikiana na Waziri wake wa mambo ya Nje wameamua kulipeleka swala hilo umoja wa Mataifa na ameshaongea na Ban ki-Moon juu ya kupeleka swla hilo........

  Hofu yangu najua fika Tanzania hawatokubali kuliacha Ziwa hilo hata Kesi ikifika Umoja wa Mataifa maana hawana cha kuwambia Wananchi juu ya Ziwa hilo nina Hofu ya Vita Miaka inayokuja ila najua si Kipindi cha Handsome boy JAKAYA MRISHO KIKWETE bali kwa Dikikteta ataye kuja mwenye maamuzi yasiyo na Hofu na shaka......mmmmmhhhh Ziwa Nyasa mmmhhhh!!! My Tanzania oohhh!!!! Malawi
   
Loading...